Kwahiyo corona ni biashara tu!
 
Kuna nchi ngapi hua zinamonitor resources zake ziwafaidishe watu wao? Nchi zingine zimefanya hivyo kwa zaidi ya muongo mmoja, na viongozi wake wanasurvive. Mfano ni nchi zenye mafuta za kiarabu.

Kama swala ni haki za binadamu na uhuru wa kujieleza mbona Duterte na Edorgan bado wapo? Sisi Makonda aliita mashoga waende kituoni wafikishwe mahakamani Duterte anawakusanya mateja anawaua, Edorgan homosexuals anawafunga na still wapo.

Serikali ya Magufuli ilishtakiwa na Msouth mpaka ndege zikashikiliwa, imeshtakiwa na wakina Zitto a person unayeweza mshtaki unahitaji kumuua kweli? Ordeal ya Acacia, baada ya kuongea alichoongea ila mwishoni alikaa nao meza moja.

Ccm wenzake? Katika chama kinachojua kushikamana na kuvumiliana ili watu wa nje wasijue kama kuna shida ni hichi, hata kama wanaona hawawezani naye wangemsubiri amalize. Hiki chama ndicho kiliprint fomu moja tu ya uraisi ili asipate upinzani ndani ya chama, this shows ni kiasi gani walimhitaji, if so wamuue ili iweje?

My point is this, sioni ni kivipi Kuna assassination hapa kutolea nje hana ubaya wa kuwafikia ambao bado wapo hai na hana ukaidi wa wakina Kim na Ahmadnejad and these two are alive.
 

Key word “some”....

If all the creatures had such thoughts as your statement Chief, then the World would still be a jungle!

Information is power and Truth is Devine!
 

Kutokuona kama kuna Hujuma haiondoi uwepo wa Hujuma.
 
Mdudu yule hakuna kingine ,Maalim alikutana na magu baada ya kama siku kadhaa maalim na crew yake wakaanza kuugua kovid19,kijazi ni mtu wa karibu sana na jpm.

Hayati Mzee Seif alikutana na Hayati JPM kabla ya ugeni ama baada ya ugeni wa China?

Mara baada ya Hayati Mzee Seif kutoka Chato, ACT wakatoa press release na kuelezea “proudly” kwamba Hayati Mzee anaugua Covid-19, na series ya press releases zilifuata katika kipindi chote cha kuugua kwake. Na picha HD moja matata akiwa hospital kuambatanishwa.

Kwanini sio Serikali ya Zanzibar iliyokua ikitoa taarifa hizo badala yake chama chake cha ACT?

Sialikua ni kiongozi mkubwa sana pembeni kabisa ya Rais wa Serikali ya Zanzibar?

Uwazi wa “kupitiliza” juu ya maendeleo ya kuugua kwake ulikua uko ndani ya ‘mstari ama nje ya?’

Naomba kueleweshwa...

Halafu, hivi Mheshimiwa Zitto Kabwe ni Mwenyekiti wa ACT bado?
 

Ni sera za ACT uwazi na ukweli.

Alikutana baada ya ugeni wa china.
 
Vyovyote vile ila siku yake ilifika, kazi yake alimaliza na Mungu akaruhusu mauti imkute
Kuna wakati siku zako zinaweza fanywa zifike.
Since no body can kill you (Your inner you/Spirit) But they can kill your body.
By the way what is done is done ✌️

The best thing ww can do ni kumuombea rehema na meema ya Mungu
 

Kwa hii hoja, paragraph ya mleta mada kuhusu Madam President kutoa taarifa za Msiba akiwa Tanga, inasimama like a red dot on a white surface!

Serikali haikuweza kabisa kupeleka hata private Jet, na kumbeba the then VP kurudi Dar ili atangaze kuondoka kwa Hayati JPM katika mazingira sahihi na kwa Mujibu wa Katiba?

Serikali kama iliegemea zaidi kutunza heshima ya Hayati JPM kuhusu kuondoka na COVID-19, haikuona hatari ya kuruhusu VP kutangaza Msiba wa Rais aliyepo madarakani huku Viongozi muhimu na wa juu kimamlaka kwa mujibu wa katiba, wakiwa wamesambaa maeneo mbali mbali ya nchi?
 



Huyu Mtu ana mengi ya kuliambia Taifa. Muandamo wake kwa JPM haukuwa wa kawaida. Hii ndiyo PSU ndani PSU.
 

Now we are talking. Uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa. You understand things at higher level.

Thank you
 
View attachment 1735359


Huyu Mtu ana mengi ya kuliambia Taifa. Muandamo wake kwa JPM haukuwa wa kawaida. Hii ndiyo PSU ndani PSU.
Hivi huyu ndugu kigogo mbona ana siri nyingi sana je ni nani atakua anampenyeshea? Ni kama mangekimambi hawa watu huwafichi kitu, hivi zile post za mange juu ya kashfa ya doto mbona alizifuta? Au alipiewa kitita cha mahela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…