Mkuu acha kutupanga...maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa acheni na hili la kusema ameuliwa nilihisi tu watu wangezusha....
 
Wachache watakuelewa. Ila umeandika ukweli mtupu
 
Mwenye nia ovu nani? kwa lengo gani ili iweje? Mpendwa alikuwa sio mtu wa musafiri na hapa nchini alikuwa na ulinzi madhubuti acheni propaganda mtu kufa ni kawaida.
 
Ndo maana mimi nawashangaa wanaosema Jiwe kauliwa wakati mtu alikua anaonesha mgonjwa tangu mwaka jana hata miguu yake akikaaa kwenye kiti ilikua kama vifupa vitupu....


Ila Mungu amuweke panapostahili,ameumaliza mwendo
 
Hilo la PSU na Mimi naunga hoja mkono.
Inakuaje watu wa nje wanapata taarifa za ndani kabisa za Ofisi Kama ile. Eg kigogo na lissu.
Kama taarifa nyeti Kama hizo zinatoka vip usalama wa Nchi yetu?
Kuna watendaji wasio wazalendo na waaminifu kule. Intensive investigation should be done.
Mwisho. Naamini katika Mungu iwe mpendwa wetu wakati wake ulikua sahihi au lah inategemeana na Makusudi ya Mungu.
 
Corona IPO! Wanakufa watu wasiyo na kiberiti cha kupmulia, sembuse mwenye hicho!
CORONA NI HATARI! OLE WAO WENYE MIZAHA!
Bibilia iko wazi kabisa! Katika harakati za kupambana na yule muovu msiache kutumia kila siraha ya maangamiz
Someni Efeso 6:11-18
 
Korona uchanganye na pacemaker uchanganye na ngoma hutoboi
 
Pesa zimetumika sana kuzungushwa JPm jamani.
Tuachieni pesa zetu,Kodi zetu zipumue kidogo.
Uchunguzi wa nini?
 
Nina mashaka na ziara ya Morogoro ziara za viwandani kuna jambo la kufikirisha...
 
Humu kuna nyuzi 3 zikitabiri magufuli atatawala kipindi kimoja.

Kuna wa kuzungumzia utabiri wa Sheikh Yahya wa 2006.

Kuna wa 2018.

Kuna wa 2020
 
...Ndio Leo nafahamu kwamba Rais wetu aliwekewa Kifaa cha Pacemaker kinachoratibu mapigo ya Moyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…