Kama bado huiamini kazi ya Mungu, mfate Chato.
 
Yeye Mwenyewe alipoteza Maisha ya wengi labda waanze kuchunguza vifo vilivyotokea wakti yeye alipokuwepo Madarakani.. alafu katika Siasa ukiua raia au askari jamaa zao au ndugu zao na wapenda haki huwa hawafurahii so visasi huwa ni kawaida even Mflame Daudi ilimtokea pia.. auaye kwa upanga atauwawa kwa Upanga... so justice iwe kwa wote na Jiwe alikuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha Katiba na kutenda Mema kwa raia wake ila alienda ndivyo sivyo na ukatiri zaidi.. na Muovu huwa hadumu sana
 
Wasalaamu!
Kiukweli kifo cha JPM kimeniumiza sana kisaikolojia.
bado naendelea kutafuta ukweli juu ya kifo chake ndani na nje ya JF.
Kifo chake kinaweza kuwa sio cha kawaida!
So much informed but so much careful to conclude!

RiP Magufuli.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Pole sana😢😢
Tumwachie Mungu my bro

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…