Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 802
- 571
Mmh - 'Economic hitmen'....nimeipenda hiyo analogySikiliza ww usiejua ukiambiwa beberu......
ujue mengi ni mazungu kupitia makampuni yao bado wana maslahi ya kinyonyaji nchi za Africa ie kwenye madini na raw material mbalimbali...
we call them (economic hitmen)......
akili yako ndogo hata kujua vitu vya wazi kama hivi huwezi......
alafu angalia hiyo paragraph yako ya mwisho inakuchora balaa! stupid