Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Kwanini iwe Tanzania tu, mna mini Cha zaidi kuliko nchi zingine?
Mbona unauliza kama umekatwa kichwa? mtawala yeyote wa afrika ili awe salama mbele za beberu lazima utawale kulingana na matakwa yao, hata ukiwa dictator kama mseven na kagame madam unaobey interest zao hawatakua na tatizo nawe bt ukienenda kinyume nao lazima wakuue/wakutoe madarakani kwa njia yoyote ile.
 
mbona unauliza kama umekatwa kichwa? mtawala yeyote wa afrika ili awe salama mbele za beberu lazima utawale kulingana na matakwa yao, hata ukiwa dictator kama mseven na kagame madam unaobey interest zao hawatakua na tatizo nawe bt ukienenda kinyume nao lazima wakuue/wakutoe madarakani kwa njia yoyote ile.
Umeelewa swali lakini?
 
Swali : Je, aliyepeleka wanajeshi Zhenj na kuua Watanzania waliopigania haki yao ya kumchagua wamtakaye ni nani?
Suala la kuwapiga na kuwanyang'anya fomu za udiwani na Ubunge wapinzani lilipata baraka kutoka wapi?
Aliyeharibu uchaguzi mkuu wa 2020 ni Magufuli na wanaCCM na si Mzungu.
Mtasema mengi ila kwa ufupi Mungu mwenye haki ameshahukumu.
 
Hakuna sehemu nimesema Lissu kamuua Magu!

Conspiracy? YES!
Hah hah hah. MATAGA mnamuogopa au mna kiwewe sana Tundu Lissu. Mlipompiga risasi na kuzuia watu wasimwombee mkaanza kusema ah amepigwa risasi na mlinzi wake, mara ah amepigwa na CHADEMA! Sasa JPM amefariki mnaanza propoganda hii ya kijinaga eti Tundu Lissu ndo amemwua! My foot!
 
Hii ni hypothesis tu. Kutokana na Makala hayo uliyotuelekeza ni kwamba unatuambia Late President Magufuli :
  • Alikuwa na pacemaker made by Medtronic...
  • Kwamba pacemaker aliwekewa Marekani
  • Kwa Makala hayo lazima mtu awe close proximity - basi ni inside job... n.k, nk

Ukweli tunaoujua ni kwamba alikuwa na chronic heart condition. Unfortunately dead men tell no tales.
 
Magufuli amemaliza mwendo hizi nyingine ni theories ambazo kila mtu atakuja na yake. Kwa sasa kila mtu ajiulize ATAKUFAJE?.mwenzenu kafa ni Rais amesha wekeza vya kutosha. Muda huu badala ya kujiuliza kwanini kwanini ni bora tujipange sisi na familia zetu.
 
Corona ni kaugonjwa kadogo, tuzidi kumtegemea Mungu ndugu zangu. Au nasema uongo!!!!??
 
Back
Top Bottom