Mmh - 'Economic hitmen'....nimeipenda hiyo analogy
 
Endelea kusubiri hao #Sound Africa #mkuu
 
Ramli tu. Kwamba ni Lissu sasa kamuua Magu? Conspirancy hamuachi hata mlipotaka kumuua Lissu mara ya kwanza. Endeleeni mtufikishe kama taifa mnapopataka.
Tuliwaaambiaaga maadui wa ndani wa Magufuli ni hatari na wabaya zaidi na wana access naye tofauti na wapinzani ambao sana ambacho wanakiweza ni kelele
 
Corona kwani Vipi? au Kule Kufichwa labda walimdedisha hatujui waamuzi ni Wao
 
Umezungumzia mambo very technical, wachache wamekuelewa. Hiki kifaa pace maker inaweza kuwa sababu kwanini Hayati Magu hakupenda kusafiri kwa ndege. Maana ukiwa kwenye ndege kuna magnetic field ambazo zinaweza kukinzana na mfumo wa kifaa hiki.

Apumzike kwa amani JPM.
 
Kuna uwezekano Lissu hakujua kinachoendelea bali aliambiwa tu kilichotokea ili kuhabarisha Watanzania na dunia!
Kama kuna walishamaliza kazi kulikuwa na any need ya kumwambia Lissu awaambie wa TZ ?
Wangetulia tu na Taarifa zingefika
I strongly believe source ya Lissu ni from Inside TISS, na yeye alisema ana credible source from TISS
 
PREMISE 1.
The invasion of covid 19 in our country is real amid the deaths of people including high ranking officials in the government, army, intelligence unit and state house.

PREMISE 2.
WHO issued protective measures and urged people to abide by them.

PREMISE 3.
Magu assured his people that there is no covid 19 and further despised all the WHO precautionary measures.

PREMISE 4.
Magu died of allegedly covid 19

CONCLUSION
Magu is the cause of his death.
 
Kama kuna walishamaliza kazi kulikuwa na any need ya kumwambia Lissu awaambie wa TZ ?
Wangetulia tu na Taarifa zingefika
I strongly believe source ya Lissu ni from Inside TISS, na yeye alisema ana credible source from TISS
Tiss iliyokuwa inamlinda Rais ifumuliwe au watiwe ndani wote.Lazima watamsema aliyewasiliana na Tundu.
 
I concur with you that pacemaker can be hacked given the fact the fundamental unique coded identification number as assigned by manufacturer is carelessly mishandled vulnerable to cybercrime attack. It is apparent in the modern world the instruments responsible with security details have to competently upgraded with cybersecurity skills to contain the malware attackers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…