Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Hata kama mtoa mada anaonekana kuwa kama mwenye kupendelea upande Fulani lakini nafurahi sana kuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa kushughulisha kichwa na kutuletea habari kama hizi. Kusema tu jibu ni hili ni kuweka ukuta watu wasifikiri zaidi. Mimi upande wangu nimejifunza kitu kikubwa sana kwa mtoa mada. Asante.
 
Ramli tu. Kwamba ni Lissu sasa kamuua Magu? Conspirancy hamuachi hata mlipotaka kumuua Lissu mara ya kwanza. Endeleeni mtufikishe kama taifa mnapopataka.
Tunapenda sana ramli chonganishi. Siku yake ilifika. Kwa wema au ubaya, ndio hivyo tena. RIP JPM. Nimemlilia sana sababu sikutegemea angeondoka kwa style aliyoondoka
 
What make Magu kutoka mafichoni Chato na kuwa free sana kutembea na kujiamini baada ya strong episode ya Corona mwaka huu?....mwanzoni alifichwa Chato mpaka hali ilipokuwa sawa...na hata ilipotokea kwa mara pili alifichwa pia kuzuiwa asiambukizwe...nini kilifanyika hadi atoke huko na kuzunguka bila barakoa ? Je tetesi kuwa alikuwa Vaccinated zilikuwa kweli? Kama zilikuwa uongo kwa nini walinzi wake walikubali kiongozi kujiexpose bila tahadhari ? Kama zilikuwa kweli hiyo chanjo ilikuwa salama kiasi gani..refer Nchi ambazo wamesitisha kutoa aina fulani fulani za chanjo baada ya kuona side effect zake..Je alipewa aina hizo..nani aliratibu?

Vipi kama tetesi hizo ni kweli kwamba yeye na familia na viongozi wake wa karibu walipata na tumeona baadhi yao wakifariki kwa hicho kinachohusiwa?

Na kama kweli kwa nini sisi tuhaminishwe hazifai wakati yeye na circle yake wajidinge chanjo?
 
Hata kama mtoa mada anaonekana kuwa kama mwenye kupendelea upande Fulani lakini nafurahi sana kuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa kushughulisha kichwa na kutuletea habari kama hizi. Kusema tu jibu ni hili ni kuweka ukuta watu wasifikiri zaidi. Mimi upande wangu nimejifunza kitu kikubwa sana kwa mtoa mada. Asante.
Naungana na wewe mkuu, ila hapo kwa TL kumuhusisha na yaliyo tokea siungi mkono..
 
Hacker anatumia kila loop hole kufanya ufedhuli. Naijua kwa mbali hacking nimeisoma nikiwa bangalore masomoni. Simu yako unayotumia inaweza kutumika na hacker akawa popote duniani kukumaliza
Simu yako, desk top computer,tablet etc haviwezi kudukukiwa
 
Magufuli alikuwa na complications; pacemaker na UKIMWI; hivi viwili viilimfanya awe very vulnerable kwa COVID-19, nayo haikuchelewa ikamkamata! Laiti angejali na kuwa mwangalifu, labda angekuwa hai; ila kutofuata masharti ya sayansi na kugang'ania mitishamba na sala, ndo kimetoa mwanya kwa COVID-19 kumuwahi! Watanzania lini mtaachaga kuwa wajinga? Eti kabeteri kalikluwa hacked; dah!
Hili la Magu kuwa na ukwimwi ni uongo
 
What make Magu kutoka mafichoni Chato na kuwa free sana kutembea na kujiamini baada ya strong episode ya Corona mwaka huu?....mwanzoni alifichwa Chato mpaka hali ilipokuwa sawa...na hata ilipotokea kwa mara pili alifichwa pia kuzuiwa asiambukizwe...nini kilifanyika hadi atoke huko na kuzunguka bila barakoa ? Je tetesi kuwa alikuwa Vaccinated zilikuwa kweli? Kama zilikuwa uongo kwa nini walinzi wake walikubali kiongozi kujiexpose bila tahadhari ? Kama zilikuwa kweli hiyo chanjo ilikuwa salama kiasi gani..refer Nchi ambazo wamesitisha kutoa aina fulani fulani za chanjo baada ya kuona side effect zake..Je alipewa aina hizo..nani aliratibu?

Vipi kama tetesi hizo ni kweli kwamba yeye na familia na viongozi wake wa karibu walipata na tumeona baadhi yao wakifariki kwa hicho kinachohusiwa?

Na kama kweli kwa nini sisi tuhaminishwe hazifai wakati yeye na circle yake wajidinge chanjo?
Umeuliza Mambo ya msingi kabisa. Hasa Hilo la kujichnganya na watu
 
Umeenda mbali sana, hapo kenya tu juzi chama cha madkari wamesema wagonjwa bado wanaongezeka na hospitali zinaelemewa.

Hawa kwa kujipendekeza kwa Wazungu wanepewa chanjo ya bure ili wawe Guinea Pigs wa majaribio.
 
Maneno meengi yasiyo na maana,uchwara hawezi tena amka hata Rais kawaambie itoshe kusema ni mpango wa Mungu.
 
hata mimi nina wasi wasi Lisu kahusika, alijuaje rais anaumwa? akamatwe mara moja
Wewe nae ni mjinga,kigogo anajuaje habari za ndani?

Us walijuaje mambo ya Bashite? Hata hivyo Lisu kataja site za kuaminika kutoka US na South Africa .

Ingefaa uwaulize wanaohusika na ulinzi wa Rais kwamba Lisu alipata wapi taarifa .

Hata hivyo Magu huwa na kawaida ya kila jpili kuhutubia sasa tukuulize wewe kama hakuonekana siku zote na sio kawaida unadhani alikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom