Ili aweze kufanya Hilo ilibidi awe KARIBU na Rais.Mabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
Je walinzi wake wamehusika?
RIP JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili aweze kufanya Hilo ilibidi awe KARIBU na Rais.Mabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
Sababu alipelekwa hospitali taasisi ya moyo ya jakaya.alionekana.labda tungehamiaha mitambo kwenda ikulu tumtibie ikuluhata mimi nina wasi wasi Lisu kahusika, alijuaje rais anaumwa? akamatwe mara moja
Tunapenda sana ramli chonganishi. Siku yake ilifika. Kwa wema au ubaya, ndio hivyo tena. RIP JPM. Nimemlilia sana sababu sikutegemea angeondoka kwa style aliyoondokaRamli tu. Kwamba ni Lissu sasa kamuua Magu? Conspirancy hamuachi hata mlipotaka kumuua Lissu mara ya kwanza. Endeleeni mtufikishe kama taifa mnapopataka.
Naungana na wewe mkuu, ila hapo kwa TL kumuhusisha na yaliyo tokea siungi mkono..Hata kama mtoa mada anaonekana kuwa kama mwenye kupendelea upande Fulani lakini nafurahi sana kuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa kushughulisha kichwa na kutuletea habari kama hizi. Kusema tu jibu ni hili ni kuweka ukuta watu wasifikiri zaidi. Mimi upande wangu nimejifunza kitu kikubwa sana kwa mtoa mada. Asante.
Ndo mana watu wako happy kuondoka kwa stone coz amechangia kwa asilimia kubwa sana kulea lea wapumbavu dizain kama yako.TL anaadika utumbo anafikiri itamsaidia. JPM ndio JPM. hajazikwa kama Bokasa.
Nashukuru kwa mchango wako!Umeandika vyema sasa jana nilishangaa sana nilipoana makala ya Lisu eti sources zake ni USA na Africa kusini.
Simu yako, desk top computer,tablet etc haviwezi kudukukiwaHacker anatumia kila loop hole kufanya ufedhuli. Naijua kwa mbali hacking nimeisoma nikiwa bangalore masomoni. Simu yako unayotumia inaweza kutumika na hacker akawa popote duniani kukumaliza
KanisaniMuongo mkubwa wewe , stand ya mbezi ndio Mara ya mwisho Magufuli kuonekana hadharani
Ndicho kilichotekeaPia fahamu kwamba inside job inaweza kuratibiwa from outside.Period
Hili la Magu kuwa na ukwimwi ni uongoMagufuli alikuwa na complications; pacemaker na UKIMWI; hivi viwili viilimfanya awe very vulnerable kwa COVID-19, nayo haikuchelewa ikamkamata! Laiti angejali na kuwa mwangalifu, labda angekuwa hai; ila kutofuata masharti ya sayansi na kugang'ania mitishamba na sala, ndo kimetoa mwanya kwa COVID-19 kumuwahi! Watanzania lini mtaachaga kuwa wajinga? Eti kabeteri kalikluwa hacked; dah!
Umeuliza Mambo ya msingi kabisa. Hasa Hilo la kujichnganya na watuWhat make Magu kutoka mafichoni Chato na kuwa free sana kutembea na kujiamini baada ya strong episode ya Corona mwaka huu?....mwanzoni alifichwa Chato mpaka hali ilipokuwa sawa...na hata ilipotokea kwa mara pili alifichwa pia kuzuiwa asiambukizwe...nini kilifanyika hadi atoke huko na kuzunguka bila barakoa ? Je tetesi kuwa alikuwa Vaccinated zilikuwa kweli? Kama zilikuwa uongo kwa nini walinzi wake walikubali kiongozi kujiexpose bila tahadhari ? Kama zilikuwa kweli hiyo chanjo ilikuwa salama kiasi gani..refer Nchi ambazo wamesitisha kutoa aina fulani fulani za chanjo baada ya kuona side effect zake..Je alipewa aina hizo..nani aliratibu?
Vipi kama tetesi hizo ni kweli kwamba yeye na familia na viongozi wake wa karibu walipata na tumeona baadhi yao wakifariki kwa hicho kinachohusiwa?
Na kama kweli kwa nini sisi tuhaminishwe hazifai wakati yeye na circle yake wajidinge chanjo?
Umeenda mbali sana, hapo kenya tu juzi chama cha madkari wamesema wagonjwa bado wanaongezeka na hospitali zinaelemewa.
Kwa maendeleo yapi mliyoleta maccm had mabeberu wawaonee wivu,acheni ujingaMabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
Wewe nae ni mjinga,kigogo anajuaje habari za ndani?hata mimi nina wasi wasi Lisu kahusika, alijuaje rais anaumwa? akamatwe mara moja