Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Kiukweli mm sina utaalam wa huo mfumo wa peacemaker ila lazima tukubali kwamba mabeberu bila Africa never survive kwahiyo kiongozi wa nchi akiwashitukia lazima wafanye mbinu ya kuharibu mipango maana wao hawataki tujitambue, kikubwa tuwe wazalendo tuweke utaifa mbele

R.I.P
MAGUFURI , maono yako yalikuwa ni yakizalendo
Kwa hiyo africa inalisha wazungu au? Zero brain
 
Mkuu with all due respect naomba usituzungumzie,jizungumzie mwenyewe.Na hii sio theory,it is a real possibility.Na kwamba sijui lazima mtu awe karibu,hili sio tatizo,mtu anaweza kutafutwa,akawa karibu,na akatimiza uovu huo.The likes of Bill Gates,Anthony Fauci and Rockefeller have unlimited money at their disposal and can literally pay any amount of money as long as their mission is accomplished. Na njaa za watanzania hizi, nani atakataa a Billion or more.

And then don't forget that the American alert inaweza kuwa zuga, ili wasiwe suspected.Kwa technology ilipo leo,naamini kabisa kwamba satellite inaweza kutumika,not forgetting HAARP of course.

Mkuu we need this information,tunahitaji kujua kitu gani kimemuua Rais wetu.Circumstances za kifo chake zinachanganya sana.If there is something you are tying to hide pole sana,possibly unajaribu kumtetea baba yako Shetani, Pythagoras nakujua!
Acheni ujinga usio na maana.
Na wamarekani ndio waliosema watu wa Ikulu wasivae barakoa?
Na Kijazi je , moyo wake ulidukuliwa?
Tukubali ukweli System ili mess up na sasa wawajibike!
Hii kutafuta mchawi haisaidii.
 
Hao mabeberu ambao hamuwataji tumawajua ni akina nani?? Binafsi nimechoka kusikia neno hilo bila kuwafahamu ni akina nani.

Ninakuomba sasa kama unavoweze kusema “malaria ni mbaya na husababishwa na mbu” niambie mmoja wa hawa mabeberu!

Je ndio hawa wakopeshaji, wahisani wa maendeleo, wasaidia bajeti? Watoa misaada ya kujenga barabara na miundombinu??
Na je ndo hao hao waliobuni, kutengeza (na pengine) kumwekea hiyo pacemaker?!!!!
 
5 to 7 years
Babu yangu anayo naa kola baada yaa miaka kumi. Now Babu yangu Ana 91yrs. Pacemaker kama hauna stress inaishia kawaida wala haina shida. Mama wa rafiki yangu yeye aloishi nayo tangu akiwa na 40yrs alifariki akiwa na 85yrs Tena baada ya mwanae kipenzi kuugua na kufariki

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Marekani vifo vilivyorekodiwa vinaelekea kufikia laki 6 na wanavaa barakoa mbilimbili na huduma za afya zilizo bora kabisa duniani.

Museveni wa Uganda kasema hadharani aliongea na JPM siku ile ya kikao cha wakuu wa jumuiya ya EAC alfajiri mapema na JPM akamuambia anasumbuliwa na Acute Head Ache na akashangaa baadaye kwenye kikao yuko Samia Naibu wa Rais.

Msimpangie Mungu endeleeni kumtegemea Mungu hapo ndipo majibu ya kweli yalipo. Propoganda uchwara hazisaidii kitu chechote kiwacho kile.
Nyie endeleeni kukomaza shingo tu. Korona is real...Itawamaliza!
 
Nyie endeleeni kukomaza shingo tu. Korona is real...Itawamaliza!

Itakumaliza wewe ambaye unafikiri kutegemea barakoa na chanjo ambukizi ndio njia ya kukuokoa, akili na maujuaji huku ukiacha kumtegemea Mungu wa Mbinguni.
 
Watu waliwekeza sana kwenye uchaguzi wa 2020 na walipoteza fedha zao nyingi.

Pia wapo walopoteza fedha zao baada ya 2015 ambapo "hearts and minds" zilikuwa ni kwenye mirija yao ya kuihujumu Tanzania.

Alipokuwa akisisitza kuwa Tanzania ipo kwenye vita ya kiuchumi alipaswa kuungwa mkono na kila mtanzania na hivyo ndivyo wenzetu wazungu wanavyofanya.
Kuna wengine waliwekeza kuanzia wakurugenzi,wasimamizi, tume yenyewe na kuzima internet

Mabango nchi nzima huku waliokua wakishindana nao wakikatazwa kuweka..

Misafara mikubwa ambayo haijulikani pesa zake ziligharamiwa na nani.....


Bado kuchapisha kura na kuzidouble walifanya wao pia..

Kweli wabongo kwa mgawanyiko huu hautakwisha kama kila mtu asipoweka ushabiki pembeni na kukubali alikosea wapi!
 
Sikiliza ww usiejua ukiambiwa beberu......
ujue mengi ni mazungu kupitia makampuni yao bado wana maslahi ya kinyonyaji nchi za Africa ie kwenye madini na raw material mbalimbali...
we call them (economic hitmen)......
akili yako ndogo hata kujua vitu vya wazi kama hivi huwezi......
alafu angalia hiyo paragraph yako ya mwisho inakuchora balaa! stupid
Let's assume kuwa Kuna kaukwel flan kwenye argument yako kuhusu unyonyaji. Ikiwa ndivyo kwa hiyo njia ya kuzuia unyonyaji huo Ni kuwagawa wananchi wako? Hivi kweli mtu ukute baba yake, Ndugu, rafiki au jamaa yake kasukumizwa marisasi bila kosa au kaokotwa ufukweni mfu, au kapotezwa, au kahujumiwa kwenye uchaguzi, biashara au AJira,. Au fedha zimechotwa benk halafu leo umwambie aomboleze eti Kuna mtu kafa?!!!!! Nyie bana tishen tu watu lakin mbuzi zinachinjwa na bia zinanyweka tu Kama kawaida. Msitufokee.
 
Kama wazo lako ndo hivyo, kuweka usawa basi tungeanza ns Nyerere, na Mkapa. Tusiruke kwa vile kuna wakiokuwa suspicious over the major causes of their deaths.
I think let bygones be bygones. Na uzembe ndani ya kujiamini sana tuache. Dakitari namba moja ws Rais ni Waziri wa Afya!na siyo yule aliyemtibu pale Mzena! Kwani yeye uliwahi kumsikia akisemaje kuhusu tahadhari kwa viongozi wetu? Hata lile thahiri tuu ya kutosongamana kwenye Makundi? Sasa hivi ukiangalia TBC pale Chato ule mlundikano wa watu with bear precautions against covid unaogopa. Baada ya wiki kadhaa zijazo tunaanza ramli kutafuta mchawi atuambie kulikoni.
Kwa bahati mbaya kwako I do not believe in what you call C-19 as a natural disease.All these respiratory problems and pneumonia like symptoms we see around us are caused by deliberate air pollution by agents of the NWO including Bill Gates,the Rockefeller s etc. through what we call Chemtrals admixed with viruses.What they call C-19 is in fact a scapegoat.Mtadanganywa sana kwa kuwa hamtaki kutafuta taarifa sahihi you just pick their lies.
 
Si tu kua hajitambui ni nothing kabisa unawezaje kumwambia mwenzio a walking dead? Malezi mabovu sana hiki kizazi
Mbona nyie mnamuita Lissu kiwete wakati mmevunjavunja nyie nyie?!!!!
Mbowe naye mkamlisu afu mnamtukana eti faru John!! Nyie nyie nyie watu nyie mioyo yetu inavuja damu mjue?!!! Nyie acheni tu Mungu yupo atatulipia kila baya mlilotutenda.
 
Ila Jo Biden amewarudisha tayari USA kwenye WHO baada ya uchizi wa Trump kujitoa..🙂
Trump sio chizi mkuu,infact he was the right President for America and the World.Trump knows that there is a group we call the NWO which has given itself the mandate of making the World a better place to live according to their way of thinking,which is however anti-human.This is the group Trump was trying to fight because it has taken the World and humanity hostage.Wangapi wanalijua hili,very few,ndio maana Trump mnamuona chizi,sio,he was right.

This is the same group Magufuli was against,ndio maana waTZ wengi pia hawamuelewi.

Nimalizie kwa kusema,unfortunately through millennia of brainwashing and indoctrination,humanity has believed that the ways of the group i.e.NWO as depicted in TV,and other forms of media in culture,politics,
science
education and entertaiment
are the right ways,not knowing that it is all an illusion.Kwa bahati mbaya kubadili perception ya watu kuhusu issues of life,which is mostly wrong, luciferian and draconian,is extremely difficult,if not impossible.
 
Tz kuna MTU mmoja tu mwenye akili sana. Na nathubutu kusema akili yake amewazidi watz wote hata zikichanganywa akili zao.

Ni bingwa wa lobbying Tz.

Hana makazi maalumu nchi yyt ile.

Ni mwanasisiem maslahi.

Hajaonekana kwa hadhara kwa muda sasa.


Jina la MTU Huyo ni
.
.
.
.
.
.
.

Nimeota Jana usiku ndoto ikaishia hapo. Leo ikiemdela nitawapa updates.

Don't take serious



Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa mwaka 2019 linaloonya makampuni yanayotengeneza pacemaker/defibrillator kuhusu hatari ya kifaa hicho kudukuliwa na wataalam wa udukuzi na kupelekea hata kifo kwa watu waliopandikizwa kifaa hicho.

Ukitaka kusoma onyo hilo unaweza kugonga hapa;
Link>>> Pacemakers and Hacker Dangers

Wizara hiyo ilibainisha kuwa wadukuzi wanaweza kuingilia mifumo ya pacemaker/defibrillator na kuweza kubadilisha mawasiliano yake ambapo inaweza kupelekea mtu aliyewekewa kifaa kufariki.

Wizara hiyo ilienda mbali zaidi na kusema hata wadukuzi ''mwenye uwezo mdogo'' wanaweza kudukua pacemaker/defibrillator na kufanikiwa kuleta madhara makubwa kwa watu waliopandikizwa vifaa hivyo kwa sababu vifaa hivyo havina mfumo wa uhakiki au idhini (authentication or authorization) ambao ni kinga ya mwanzo dhidi ya udukuzi.

Onyo hili lilipelekea watoa huduma ya afya nchini Marekani kuwaita wananchi wa Marekani zaidi ya nusu milioni waliopandikizwa vifaa hivyo na kuwaeleza ukweli wake.

Kama kifaa hiki kinaweza kudukuliwa hata na wadukuzi wenye uwezo mdogo na kuleta madhara au kifo, inafikirisha sana kusikia kifo cha Rais Magufuli kimesababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Inafikirisha zaidi baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tundu Lissu kupitia gazeti la Afrika ya Kusini liitwalo Maverick akidai alidokezwa kuhusu hali ya Rais Magufuli na chanzo cha ''uhakika'' kutoka Marekani tarehe 6 Machi.

Ukitaka kusoma makala hiyo gonga hapa;
Link>>> OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Ukiyachanganua maelezo ya Tundu Lissu utagundua kuwa chanzo cha ''uhakika'' walijua wamefanikiwa ''mission'' ya kudukua hasa baada ya Rais Magufuli kwenda katika hospitali ya Muhimbili tarehe 6 Machi kutibiwa ambapo inaonekana daktari/madaktari walitoa siri hiyo nje lakini baada ya kutoka Muhimbili siku ya pili hawakujua yuko wapi kutokana na usiri wa hali ya juu wa ulinzi wa Rais Magufuli.

Hata gazeti ya Kijasusi liitwalo Africaintelligence halikuweza kujua aliko na likadai habari zinazosema yuko Kenya au India sio za kweli kwa sababu limefanya uchunguzi na kugundua sio kweli.

Kama chanzo cha kifo cha Rais Magufuli kitakuwa ni kudukuliwa kwa pacemaker/defibrillator, hii itakuwa ni aibu na udhaifu mkubwa kwa vyombo vilivyopewa mamlaka ya ulinzi na usalama wa taasisi ya Urais nchini Tanzania. Taasisi ya Ulinzi na Usalama inawezekana ilikuwa imejikita katika ulinzi wa mwili(Physical security ) pekee bila kujiandaa kwenye ulinzi wa saibenetiki(cybersecurity).

Kuna baadhi ya watu watajiuliza, kwa nini pacemaker/defibrillator ya Rais Magufuli idukuliwa kwa sasa?

Mtu mwenye upeo mkubwa atajua muda huu ndio ulikuwa ni muda mwafaka kiujasusi baada ya uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu nguvu zilizokuwa zimewekezwa katika Uchaguzi Mkuu 2020 ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani kwa njia ya sanduku la kura au maandamano kupitia kwa Tundu Lissu kutofanikiwa.

Ukisikiliza sauti ya tatu utagundua kuwa Tundu Lissu aliwaaminisha ''majasusi'' ana uwezo wa kumtoa Rais Magufuli madarakani kwa kura au maandamano.

Ieleweke kuwa, katika baadhi ya misheni hasa za kijasusi zenye changamano na tata huwa kuna mpango(plan) zaidi ya mmoja. Baada ya mpango wa kwanza kushindwa, mpango wa pili ulichukua nafasi yake na kufanikiwa!

Nadhani hoja za kinadharia kutoka kwa baadhi ya wanasiasa hasa wabunge za kutaka kubadilisha katiba ya Tanzania ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa Urais pia zimeharakisha sana ''mission'' hii kabla hawajaanza kuandika ''miswaada binafsi'' na kupeleka bungeni kwa sababu ungepitishwa bila kikwazo chochote!

Mission accomplished, the rest is history!

NOTA BENE.
Kwa wasiojua, pacemaker/defibrillatorni ni kifaa kidogo cha umeme chenye ukubwa kama kiberiti ambacho hufuatilia na kudhibiti wimbo wa moyo ambacho huingizwa kwenye kifua ili kufuatilia na kudhibiti sauti ya moyo isiyo ya kawaida ili kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa.
View attachment 1733899
 
Back
Top Bottom