Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Ila Mungu ana maguvu jamani tumuache tu aendelee kuitwa Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John kijazi KMK nani atabeba lawama?Rais Samia Suluhu Hassan ameonya wanaoeneza uvumi kwa Rais JPM aliuawa kwa sumu na kutoa rai wenye ushahidi huo watoe taarifa kwenye vyombo vya usalama ili hatua zichukuliwe.
Wanaojenga hoja hiyo ya sumu wanaamini katika Ulinzi madhubuti wa Rais kwa kila namna hawezi kudhurika kirahisi.
Rais SSH amezima mjadala huo kwa kusema mtangulizi wake alikuwa na tatizo (mgonjwa) wa/la moyo kwa zaidi ya miaka kumi. Hii maana yake toka 2015 Magufuli alikuwa mgonjwa.
Tutakumbuka Edward Lowassa aliambiwa ni mgonjwa "asiende kufia Ikulu" na ili kujibu afya njema Magufuli alipiga push up jukwaani.
Katika sifa 13 za mgombea Urais 2015 sifa ya 3 inasomeka, "Awe na afya njema isiyo na mashaka".
Swali, je JPM alidanganya chama kuhusu afya yake? Je, ni nani anathibitisha afya hiyo kwa chama? Je, chama kilidanganya wanachama wenzao? Tumejifunza nini kama chama kuhusu afya ya wagombea Urais ili makosa yasijirudie? Nawaza kwa sauti kwa nini CCM ikwepe lawama?
#FreedomIsBack
Rais siyo mtu bwashee!... afya ya mtu ni siri kati yake na daktari wake! Ni ajabu CCM kuweka kipengele kama hicho kama mojawapo ya "sifa" za mgombea. Nadhali walikuwa na nia ovu ya kuja kukitumia baadaye kum-eliminate mgombea fulani kihuni na walifanikiwa hadi kwenye kampeni. Ila bahati mbaya Mungu alikuwa na jambo lake!
Na tumlaani pia kwa mabaya aliyotenda pia! Never ever again!So you admit ni conspiracy? okay so its not real.
Lissu yeye alipata formal information kuwa rais ana hali mbaya.. baadae akiwa ameondoka. sio eti kama hacked. ameondoka na nn na nn sababu hapo hakujua.
So badala ya ku stick kutunga empty theories na whitch hunt hapa..
tumuenzi kwa mazuri aliyotenda our late president.
Nyerere hakufa madarakani,Mkapa hakufa madarakani.Wote hao walifariki wako nje ya madaraka.Ukisikiliza hotuba zake JPM kwa umakini sana, utagundua jinsi alivyokuwa anaiona hatari ya Kuuliwa. Hata mimi kwa uelewa wangu mdogo wa security nilikuwa nishaanza kunusa hiyo hatari ya kifo chake.
Sasa inakuwaje TISS ambao wamepewa dhamana ya kumlinda masaa 24 wasiweze gundua hatari iliyokuwa inamkabili? inaelekea hiyo taasisi imejaa watu wasio sahihi na wasio na uzalendo kabisa. Na watakuwa wanaitumia hiyo taasisi Vibaya.
Katika uongozi wa Tanzania, ukiwaangalia marais 6 utagundua kuna makundi 2 yenye style tofauti za uongozi. Kundi la kwanza ni viongozi wenye msimamo mkali wa raslimali za nchi ambao ni Nyerere, Mkapa na Magufuli. Wote walikuwa wazalendo kwa nchi yao na wameleta impact kubwa sana nchini. Walikuwa wanatetea raslimali za nchi na walikuwa hawacheki na mabeberu. Na wote watatu vifo vyao ni vya utata utata.
Kundi la pili ni ili kundi la viongozi wenye msimamo soft soft ambao ni Mwinyi, Kikwete na Samia. Wote hawa misimamo yao sio mikali hasa hasa kwenye raslimali za nchi. Mwinyi alikuwa mzee wa ruksa, Kikwete mzee wa bata na Samia mmemsikia akiamuru madini yachimbwe, wafanya biashara waachwe hata wakihujumu uchumi na kadhalika. mitazamo yao ya uongozi iko tofauti kabisa na kundi la kwanza.
Hii inatuonesha kwamba viongozi wenye msimamo mkali kwenye raslimali za nchi wanauliwa mapema sana kwani wanakwamisha mipango ya mabeberu kuiba raslimali za nchi. Na kiongozi mwenye msimamo mkali hata TISS hawawezi kumlinda.
Kama ukiwa rais na ukalegeza msimamo wako kwa mabeberu, basi utakuwa umejisalimisha na mabeberu hawatakuua, kwahiyo kazi ya TISS kukulinda itakuwa raisi kwao kwani hutadhulika.
Swali la kujiuliza, kama moja ya kazi ya TISS ni kuhakikisha vongozi wako salama, sasa ni kwanini viongozi wanauliwa kwasababu ya kulinda na kutetea raslimali za nchi?
Huwa ni kawaida ya nyumbu kuona yuko salama mbele ya mdomo wa Simba.Kwa maslahi mapana ya nchi tujiulize;
Je alikuwa asset au liability?
Je alikuwa bearable au unbearable?
Tuzingatie Miongozo iliyotolewa na WHO ,taratibu ni zile zile hazijabadilika..
Agiza konyagi nitalipiakubwa na la kumshukuru Mungu ni kuwa jamaa kafariki
Uzuri historia yake ipo wazi mengine yote tetesi.Ama kweli Mission Accomplished 100%