Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

Muundo wa muungano uliopo ni kaburi kwa Tanganyika
(Umeifanya Tanganyika kuwa ya kunyonywa na kutawaliwa na Zanzibar)
  • Zanzibar haichangii gharama za uwekezaji na uendeshaji ila mgao wa mapato, faida, bakaa inapata
  • Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi ila bara wazanzibari wanajitwalia tuu
  • Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kuajiliwa SMZ lakini wazanzibari wanaajiliwa mpaka ualimu na ajira za kada ya afya
  • Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kugombea uwakilishi ila bara wanagombea tuu
  • Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anaeteuliwa kushika nafasi za uongozi kwenye serikali ya Zanzibar ila bara wanateuliwa kuwa ma DAS, DED, DC, RAS, nakadhalika
Kwani kuna serikali iitwayo Tanganyika ata utake nafasi za uko zote zichukuliwe na watanganyika tu? Hio ni serikali ya JMT, popote tunaweza kuwepo, hamtaki tafuteni serikali ya Tanganyika.

Wazanzibari tumekuwa tunapiga kelele sana muwe na serikali yenu, lakini nyinyi mnajisaliti wenyewe sembuse kuwasaliti wazanzibari.
 
Mkuu kwa nini Mh. Samia Suluhu Hassan amekuwa Rais? Tuanzie hapo kwanza.

Ukishajibu hilo hapo juu, sasa zile nguvu ambazo wewe na wanakikundi wenzakolikuwa mnasema mnahitaji Magufuli 2025 basi sasa hivi hamishieni kwa Madam President! Si umesikia juzi kasema yeye na Magufuli ni Kitu Kimoja? Kwa hiyo hakuna mtachopoteza wewe na wanakikundi wenzako.
Rejea uzi wako wa Feb 16, 2021.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ngojeni kwanza tumpe uenyekiti ndo mlete mambo yenu ya kifalasi...Mwinyi aliongoza nchi ilitokea vita?
 
Serikali ya Muungano inafanya mambo yote yanayohusu Tanzania isipokuwa tu yale yanayosimamiwa na Zanzibar huko visiwani. Kimuundo, Rais wa Muungano, bila kujali katoka wapi atadeal na mambo yote ya Muungano. Ukiuliza kama anayo haki, mimi nitakuuliza kama hana haki, ni nani anayo?
 
-Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar kwa hoja mufilisi kwamba Zanzibar ni ndogo, lakini kwenye mgawanyo wa pesa za Maadhimisho ya Muungano watataka equal share.
Hii sio hoja muflisi, Zanzibar ni kisiwa tena kidogo, ardhi ndogo kweli. Sio equal share ambayo inahitajika kupelekwa Zanzibar, bali kile ambacho wanachostahili katika kila mgao kama ni asilimia 4 ama vipi, lakini IPELEKWE.

-Wakati anahutubia Bunge, Rais Samia alitoa ahadi ya kununua Meli za uvuvi nne, huku mbili zikielekezwa Zanzibar na mbili Bara. Kwanza hii sio haki, kwani Uvuvi, na Usafirishaji wa majini siyo mambo ya muungano, sioni matiki kwa nini Rais wa Muungano aanze kuhangaika na mambo yasiyo ya muungano kwa Zanzibar kwa kutumia pesa za Watanganyika.
Zamani meli zilikuwa zikisajiliwa Zanzibar, ila sasa naona zinajadiliwa bara ama vipi?
 
Acha ujinga! Kubali tu Dikteta Magufuri aliyekuwa anakunufaisha kafa, Bi. Mkubwa ndiye Rais wetu, sasa hoja za kise@@@nge unatuzotuletea hapa hazikusaidii kubadili katiba iliyomuweka Mama yetu Ikulu. Mwache Mama afanye kazi. Tafuta kazi nyingine upate mlo wako
 
Hoja hizi na zinazofanana nazo zinaibuka kwa sababu Rais ni SAMIA!
Wakati yuko John haya hayakuulizwa!
Msimlaumu mama, Katiba Yenu iliyoasisiwa na mtakatifu wenu inataka hivyo!
Zanzibar wala hawana haja na muungano wenu, ni Tanganyika yenye haja na muungano na ili kuwavutia wazanzibar basi wakaweka hiyo incentive!
Muachane mama atawale kwa raha au Vunjeni muungano! Msilazimishe muungano wa Tanganyika kuimeza Zanzibar! Hautakaa uwezekane!!
 
Huyu jamaa hani&&&thi sana sababu wakati Dikteta Magufuri alipoingia madarakani na kukataa kufanya marekebisho ya katiba mbovu tuliyonayo hatukuona hoja hii ya kise@@@nge. Sasa kafa ndiyo wanaleta chokochoko, mbona hakugusia utawala wa mzee Ruksa ambaye ana asili ya zanzibar! Mama piga kazi wapumbavu kama hawa achana nao
 
Kwa hiyo ndio umejibu hoja?
 
Kuna mahala nimeruhusu matusi kwenye hoja hii? Anyway ufahamu wako umeishia hapo
 
Kuna mahala nimeruhusu matusi kwenye hoja hii? Anyway ufahamu wako umeishia hapo
Mimi nina ufahamu mkubwa kuliko wewe jinga!. Nimekuuliza wakati Dikteta Magufuri alipokataa kufanya marekebisho ya katiba mbona hukutuletea hoja hii? Aidha kwa nini hukuuliza kama tulikosea kumuweka Mzee Ruksa Ikulu? Unauliza muda huu wakati Bi Mkubwa anatawala? Kwa sasa Bi Mkubwa ndiye Rais wetu mwache afanye kazi kwa raha. Hoja za kise@@@nge kampelekee mkeo
 
Muundo wa muungano uliopo ni kaburi kwa Tanganyika
(Umeifanya Tanganyika kuwa ya kunyonywa na kutawaliwa na Zanzibar)
  • Zanzibar haichangii gharama za uwekezaji na uendeshaji ila mgao wa mapato, faida, bakaa inapata
  • Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi ila bara wazanzibari wanajitwalia tuu
  • Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kuajiliwa SMZ lakini wazanzibari wanaajiliwa mpaka ualimu na ajira za kada ya afya
  • Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kugombea uwakilishi ila bara wanagombea tuu
  • Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anaeteuliwa kushika nafasi za uongozi kwenye serikali ya Zanzibar ila bara wanateuliwa kuwa ma DAS, DED, DC, RAS, nakadhalika
Hivi wewe na yule pimbi mwenzako (Jerusalem) haya ndiyo mnayaona leo? Hoja yako haisadii kitu. Mama ndiye Rais kwa sasa utake usitake kwa mujibu wa katiba hii, muacheni afanye kazi kwa raha lile joka lenu lishakufa. Mtulie zama za ubabe zimeshaisha
 
Katiba iliyopo ni ya nchi mbili za Tanzania na Zanzibar na wananchi wote wa nchi hii ni watanzania; hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika ndani ya Tanzania.

Hicyo Raisi wa Tanzania ni raisi wa Jamhuri yetu kwa mambo yote na ana uhuru wa kuamua mambo yanayohusu nchi nzima ya Tanzania kwa jinsi atakavyoona inafaa. Mimi namshauri ikimpendeza atafute eneo huko kwao Zanzibar apeleke miradi mikubwa ya Maendeleo kama Airport, Hospitali ya Rufaa, Chuo Kikuu, Daraja la kisasa na mradi mwingine wowote atakaoona unafaa. Na kwa rekodi mimi siyo mzanzibari ni mtanzania halisi mpaka hapo katiba itakapobadilishwa.

"Kunya anye kuku akinya bata kaharisha"
 
Na vipi kwa Tanganyika/Tanzania katika kipindi hiko?
 
Kitu muhimu kungekuwa na serikali moja tu ambayo ni serikali ya jamhuri ya muungano ile ya mapinduzi ingekufa au tuwe na serikali Tatu kwa maana kuwa serikali ya mapinduzi,serikali ya jamhuri ya Tanganyika na serikali ya Muungano,nahisi hizi Kero ndio zingepungua.
 
Mimi nina ufahamu mkubwa kuliko wewe jinga!. Nimekuuliza wakati Dikteta Magufuri alipokataa kufanya marekebisho ya katiba mbona hukutuletea hoja hii? Aidha kwa nini hukuuliza kama tulikosea kumuweka Mzee Ruksa Ikulu? Unauliza muda huu wakati Bi Mkubwa anatawala? Kwa sasa Bi Mkubwa ndiye Rais wetu mwache afanye kazi kwa raha. Hoja za kise@@@nge kampelekee mkeo

Nime quote vifungu vya katiba ku-support arguments zangu, nimeuliza kuna mahala nimeongea uongo?
Sijajibiwa zaidi ya matusi yako,

I quit arguing will stupid zero brain like you.
 
Back
Top Bottom