Kwani kuna serikali iitwayo Tanganyika ata utake nafasi za uko zote zichukuliwe na watanganyika tu? Hio ni serikali ya JMT, popote tunaweza kuwepo, hamtaki tafuteni serikali ya Tanganyika.Muundo wa muungano uliopo ni kaburi kwa Tanganyika
(Umeifanya Tanganyika kuwa ya kunyonywa na kutawaliwa na Zanzibar)
- Zanzibar haichangii gharama za uwekezaji na uendeshaji ila mgao wa mapato, faida, bakaa inapata
- Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi ila bara wazanzibari wanajitwalia tuu
- Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kuajiliwa SMZ lakini wazanzibari wanaajiliwa mpaka ualimu na ajira za kada ya afya
- Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kugombea uwakilishi ila bara wanagombea tuu
- Kule Zanzibar hakuna mtanganyika anaeteuliwa kushika nafasi za uongozi kwenye serikali ya Zanzibar ila bara wanateuliwa kuwa ma DAS, DED, DC, RAS, nakadhalika
Wazanzibari tumekuwa tunapiga kelele sana muwe na serikali yenu, lakini nyinyi mnajisaliti wenyewe sembuse kuwasaliti wazanzibari.