GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Nimefurahi sana kuutaja Mkoa wa Wanamume, Watu Werevu Kiasili, Wasomi na Mashujaa ( Majasiri ) wa Asili wa Mara ( Musoma )Huyu ni mwanaume wa kwanza mumbeya toka musoma iweko duniani
Musoma hakuna hata mwanamke mumbeya huwezi kumpata
Viongozi wanaomiliki timu za mpira,wahojiwe pesa za kuendesha timu hizo wanazitoa wapi,?Hoja kama umeielewa ni mashaka ya mwandishi juu ya fedha anazotoa kuihudumia hiyo team. Mtoa mada ana mashaka kuwa huenda anajichotea fedha hazina na kuzimwaga huko DTB.
Siku nyingine usijitie upofu.
Kwa maoni yangu: Mh atakuwa anatoa msaada ulio ndani ya uwezo wake. Team kuwa na uwezo kifedha isiwe issue ya kushangaza kwani inamilikiwa na taasisi inayofanya biashara ya hela.
Unauliza Ndizi Bukoba?
Kwani DTB inamilikiwa na serikali? KMC inamilikiwa na serikali za mitaa.Hii timu kwani imeandikwa mwigulu fc au ni ya benki ya dtb chini ya wizara yake. Sasa ukilaumu hilo mbona kuna KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya kinondoni iliyo chini ya Tamisemi ina maana na dada Ummy nae atumbuliwe au asemwe ni mmiliki wa KMC. Mwigulu tumwandame kwa tozo lakini hizi timu za taasisi huwa zipo maeneo mengi tu duniani
Akikujibu Mkuu tafadhali naomba Unitagi.
Wa Namungo FC kwakuwa ni ya muda mrefu tumsamehe Mkuu ila Mimi GENTAMYCINE nataka tuanze rasmi na huyu Waziri Mwandamizi ( Serikali ya sasa ya Rais Samia ) ambaye kwa 100% ndiyo Mmiliki wa DTB FC kwani kwa Huduma za First Class ambayo Timu hii ya DTB inapata ( ambayo inazidi hata Timu za Ligi Kuu ) ni lazima tu huyu Waziri atakuwa anamuibia Mama ( Rais Samia ) Pesa kule ( pale ) Hazuna.Viongozi wanaomiliki timu za mpira,wahojiwe pesa za kuendesha timu hizo wanazitoa wapi,?
Tuanze na mmiliki wa namungo fc
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
AchunguzweWa Namungo FC kwakuwa ni ya muda mrefu tumsamehe Mkuu ila Mimi GENTAMYCINE nataka tuanze rasmi na huyu Waziri Mwandamizi ( Serikali ya sasa ya Rais Samia ) ambaye kwa 100% ndiyo Mmiliki wa DTB FC kwani kwa Huduma za First Class ambayo Timu hii ya DTB inapata ( ambayo inazidi hata Timu za Ligi Kuu ) ni lazima tu huyu Waziri atakuwa anamuibia Mama ( Rais Samia ) Pesa kule ( pale ) Hazuna.
Wa DTB FC na wa Namungo FC tuachane nae si ndiyo Mkuu au?
Mkuu umeelewa nilichokiandika au umekuja kuninukuu bila kuelewa nilichomaanisha?Usimpangie namna ya mtu kutumia pesa yake ambayo kaipata kihalali na kodi kakatwa ana uhuru wa kuifanyia chochote kuhonga,kupeleka kwa mitume na manabii matapeli,kuanzisha timu yake popote nk
pambana na hali yako
Wakati anahonga wewe huwa uko nae?Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu.
Rais Samia wala GENTAMYCINE sina tatizo na Yeye Kuifadhili hiyo ( hii ) Timu ya DTB ( ambayo inajificha nyuma ya Umiliki wa Benki ) ila Watu wa Mpira Tanzania tumeshajua Waziri wako Mwandamizi ndiyo yuko nyuma yake ila tunataka tu kujua je, hizi Pesa hakuibii kweli huko Hazina? Je, huyu Waziri wako kule katika Kiapo cha Mali za Viongozi na huu Utajiri wake wa Kuimiliki hii Klabu ya DTB ameuweka pia?
Na wamepania kupanda Ligi Kuu ( NBC Tanzania Premiership ) kwa Gharama yoyote ile na tayari wameshaanza hata Kuhonga katika Mechi zao za awali ili tu wapande Ligi Kuu na ndiyo Timu inayoogopwa na TFF kutokana na huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma.
Rais mchunguze upesi sana huyu Waziri.
Eti je huyo pm nae tumwite mwizi?Vipi ile nyingine inayoitwa Namungo FC...
Wote wachunguzwe,pesa wanazoendeshea hivyo vilabu wanazitoa wapi!Wa DTB FC na wa Namungo FC tuachane nae si ndiyo Mkuu au?
Fimbo ya asili na ubongo wa asiliWakati anahonga wewe huwa uko nae?
Hebu acha udwanzi mwache afanye atakacho na wewe iba basi kama unadhani ni rahisi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Unamjuwa mmiliki wa mabasi ya Easter?Wengi mmempuuza Gentamycine lakini jamaa ana hoja!
Mimi mwenyewe sikuwa najua DTB ni timu ya Madelu mpaka siku moja redioni nilipomsikia Juma Abdul akihojiwa kwanini umeenda kucheza DTB tena ligi daraja la kwanza?
Juma Abdul Mnyamani akajibu kuwa Madelu alinipigia simu akanipa ofa nzuri ikabidi nisajili huko!
Tafuteni hiyo clip ipo mpaka youtube! Hapo ndipo nikajua Alizeti Fc imerudi kivingine!
Ni waziri aliyeiba jina la mtoto wa kisukuma japo yeye wa kanda ya katiMama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu.
Rais Samia wala GENTAMYCINE sina tatizo na Yeye Kuifadhili hiyo ( hii ) Timu ya DTB ( ambayo inajificha nyuma ya Umiliki wa Benki ) ila Watu wa Mpira Tanzania tumeshajua Waziri wako Mwandamizi ndiyo yuko nyuma yake ila tunataka tu kujua je, hizi Pesa hakuibii kweli huko Hazina? Je, huyu Waziri wako kule katika Kiapo cha Mali za Viongozi na huu Utajiri wake wa Kuimiliki hii Klabu ya DTB ameuweka pia?
Na wamepania kupanda Ligi Kuu ( NBC Tanzania Premiership ) kwa Gharama yoyote ile na tayari wameshaanza hata Kuhonga katika Mechi zao za awali ili tu wapande Ligi Kuu na ndiyo Timu inayoogopwa na TFF kutokana na huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma.
Rais mchunguze upesi sana huyu Waziri.
Ni Esther na sio Easter?Unamjuwa mmiliki wa mabasi ya Easter?