Download cheti chako,ukae nacho.maana hizi system haziaminiki...!Hv mdau ukitumiwa Chet chako na Rita kwenye accountambacho kishathibitishwa. Ile account inaweza kupotea na usikione cheti chako tena kama mfumo wao utaisha baada ya kufunga maombi ya mkopo(helsb)..?
Kweli mkuu, hata me naona hvyo nataka niende kesho I.cafe nakakidownloadDownload cheti chako,ukae nacho.maana hizi system haziaminiki...!
mkuu habari yako naomba tuchat inboRita wameshaanza mkuu, unaweza kutuma cheti chako ili kihakikiwe via www.rita.go.tz
Mwenyewe nipo kwenye michakato
Ukishafanikiwa kuingia kwenye web yao utaanza kufungua account then una-upload cheti chako na taarifa zingine, then utasend na mda mchache utatumiwa control namba ya kufanyia malipo.mkuu habari yako naomba tuchat inbo
Ukiingia na simu hivyo itakusumbua,ingilia kupitia computer.Log in alafu click inbox utakuta majibu yako.Kila lakheri.naombeni mnielekeze tafadhaliView attachment 1543720
Mkuuu lazma Rita waweke muhuri wake ndo ukaweke hiyo ya mahakamaniHabari,hivi mtu unaenda kuhakiki cheti na kutokana muda umeenda kikahakikiwa kwa njia hii je kuna yoyote anayefahamu utaratib huu au ni vipi? Msaada kwa anayefahamu hili[emoji120]View attachment 1544037
sio lazimaNida!nida!nida!
Wakuu nina changamoto ya kutokuwa na kitambulisho cha taifa ila namba ya nida ninayo na kitambulisho changu bado hakijatoka hyv nafanyaje ili kumaliza appl, pale wanapohitaji copy ya kitambulisho cha nida.........?
Download kwa mtandaoNida!nida!nida!
Wakuu nina changamoto ya kutokuwa na kitambulisho cha taifa ila namba ya nida ninayo na kitambulisho changu bado hakijatoka hyv nafanyaje ili kumaliza appl, pale wanapohitaji copy ya kitambulisho cha nida.........?
NIDA ID ni optional sio lazima ndio maana haina ile nyota nyekundu.Kama huna just skip.Nida!nida!nida!
Wakuu nina changamoto ya kutokuwa na kitambulisho cha taifa ila namba ya nida ninayo na kitambulisho changu bado hakijatoka hyv nafanyaje ili kumaliza appl, pale wanapohitaji copy ya kitambulisho cha nida.........?
[emoji120][emoji120][emoji120] sana kk nlkw napata shd sana pale aiseeehhNIDA ID ni optional sio lazima ndio maana haina ile nyota nyekundu.Kama huna just skip.
Huduma ile ya online copy now haipo wameifunga mkuu....Download kwa mtandao
Shukrani mkuusio lazima