Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Hv mdau ukitumiwa Chet chako na Rita kwenye accountambacho kishathibitishwa. Ile account inaweza kupotea na usikione cheti chako tena kama mfumo wao utaisha baada ya kufunga maombi ya mkopo(helsb)..?
Download cheti chako,ukae nacho.maana hizi system haziaminiki...!
 
Wakuu msaada namna ya kulipia rita ile elfu 3 inakuwaje mbona nakwama?
 
Mwanangu alituma cheti cha kuzaliwa na kifo (mzazi wake) tarehe 1/8-2020. Cheti cha kuzaliwa kashahakikiwa na kakipata muda tu. Lakini kile cha kifo bado hakuna mrejesho na siku si rafiki.

Hivi kulikoni ikiwa alituma siku moja na cheti cha kifo kuchelewa namna hii. Msaada kwa mwenye kufahamu na aliyekutwa na tatizo kama hili.
 
mkuu habari yako naomba tuchat inbo
Ukishafanikiwa kuingia kwenye web yao utaanza kufungua account then una-upload cheti chako na taarifa zingine, then utasend na mda mchache utatumiwa control namba ya kufanyia malipo.

Ukipata c.namba unalipia na hapo application yako itakuwa imekamilika. Ila tu changamoto ya sasa wanachelewa sana kucertify unaweza tumia hata zaidi ya Siku 10 majibu ndo yanarudi.

Ila ule mwezi wa 7 hakukuwa na foleni kubwa me nilitumia Siku 3 tu na nikarudishiwa cheti changu
 
Habari wakuu naomba kujua kwa wale ambao wako Diploma mwaka huu nando wanamlizia kwenye system kunahitajika kuambatanisha cheti cha Diploma je wanafanya je maana kunamkanganyiko wa mara AVN napata shida kidogo kwa anayejua naomba muongozo tafadhali
 
naombeni mnielekeze tafadhali

Screenshot_2020-08-21-10-13-46.jpg
 
Habari,hivi mtu unaenda kuhakiki cheti na kutokana muda umeenda kikahakikiwa kwa njia hii je kuna yoyote anayefahamu utaratib huu au ni vipi? Msaada kwa anayefahamu hili[emoji120]
20200821_173132.jpg
 
Nida!nida!nida!
Wakuu nina changamoto ya kutokuwa na kitambulisho cha taifa ila namba ya nida ninayo na kitambulisho changu bado hakijatoka hyv nafanyaje ili kumaliza appl, pale wanapohitaji copy ya kitambulisho cha nida.........?
 
sio lazima
 
Download kwa mtandao
 
NIDA ID ni optional sio lazima ndio maana haina ile nyota nyekundu.Kama huna just skip.
 
Hv pale rita makao makuu dar posta wanafanya kazi kwa muda gani? I mean kufunga ofisi zao
 
mimi mpaka leo sijafanikiwa ku certify cheti changu rita
 
Back
Top Bottom