Kyamtwala
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 252
- 150
Download cheti chako,ukae nacho.maana hizi system haziaminiki...!Hv mdau ukitumiwa Chet chako na Rita kwenye accountambacho kishathibitishwa. Ile account inaweza kupotea na usikione cheti chako tena kama mfumo wao utaisha baada ya kufunga maombi ya mkopo(helsb)..?