Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Ha ha ha ha ha, bwana mkubwa JF ni jukwa la great thinkers watu wanategemea unapoleta kitu hasa Cha ki uweledi basi ulete fully package na uwe well informed. Mfano mleta maada angeleta hiyo thread na akaomba kupata uelewa wa jambo hilo. Sasa yeye kancoclude kabisa as if anajua hizi mambo. Kwahiyo ni mhimu watu kuandika vitu ambavyo wanauelewa navyo!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada Alvin.... Project yetu ile naona inaendelea vizuri lakini mbona final destination imerudishwa nyuma kwa kama km 2

Jr[emoji769]
Haijarudi nyuma bali ndivyo plan ilivyokua toka awali, kulikua na mambo kadhaa ambayo walikua hawajakubaliana,
Kwa sasa mambo yamekubalika ndio maana unaona vile mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe muha! Ni watu wanaokuwa na misimamo mikali mno ya msingi. Lakini muha akiamua kuwa mjinga hakika mtachoka, anakuwa mjinga kupitiliza. Mifano ni msingi mno.
Hahahaaaaa naona amechagua kuwa upande wa pili. Anyways tuache ukabila lakini anatia aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…