Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Sisi tumemuelewa.....Tunashangaa wewe Kisebengo kujifanya wajua kumbe hujui
Ha ha ha ha ha ha. Kama aliyeandika hata hajui ameandika nini, Sasa wewe unayesema umemuelewa sijui nikuite Nani ha ha ha ha!
 
Ambacho kipo sahihi ni kuwa ban ya bashite kwenda USA imesababishwa na Roma... Jamaa bila shaka ameenda kumkaanga Bashite... Uko sahihi kwa hilo, ila kwa la ICC sidhani!
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Huyu bwana mdogo alikuja kasi sana kwa kumshambulia MSHANA JR kuwa ni mbumbumbu bila kutambua kwamba palipo na wengi kuna mengi na hakiharibiki kitu.

Jr[emoji769]
 
Hakuna mtu namtetea hapa bwana mdogo. Ninachopinga ni watu kutoka ndotoni na kuja kutuandikia vitu ambavyo hata hawajui vinatoka wapi vinaenda wapi. Hicho tu, andikeni upupu wenu huko lakini mkifika kwenye vitu vikubwa Kama hivo vinavyowazidi uwezo basi mpitege tu kha!
 
Huyo mpumbavu anayekukosoa hajui kuwa Security council ya UN ambayo USA ni mwanachama wa kudumu inaweza kukupeleka huko ICC...

Hivyo hata kama USA sio member wa mkataba wa roma ila kuna avenue ya wao kukupeleka ICC kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipasuliwa fuvu ubongo wako haujai kisoda
 
Ninachopinga ni watu kutoka ndotoni na kuja kutuandikia vitu ambavyo hata hawajui vinatoka wapi vinaenda wapi. Hicho tu, andikeni upupu wenu huko lakini mkifika kwenye vitu vikubwa Kama hivo vinavyowazidi uwezo basi mpitege tu kha!
Well, inawezekana mshana amekosea usahihi wa baadhi ya vipengele: lakini kukosea inaeleweka na inakubalika maana sio mwanasheria yeye.

Wewe umekuja hapa kuonyesha umwamba wako na unguli wako wa kitaaluma. It's fine, i have no problem with that.

Kiburi cha kitaaluma ni sawa tu. Unaruhusiwa kuwa na kiburi kwa kiasi ukitakacho.

Lakini kuwatetea wahalifu na kupotosha ukweli kuhusu mamlaka ya ICC, haikubaliki.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la JF ni kupeana Elimu etc.

Pia jifunze kujenga hoja na siyo personal attack.

Acha lugha za kejeli na dharau.

Ukifanya hivyo itakusaidia sana mdogo wangu.

Zamani nilikuwa natumia lugha mbaya ila siku hizi huwa najikita katika kujenga hoja nzuri.

Karibu sana.
 
Kabla hujani-quote ulisoma vizuri swali langu!!
 
Na very soon Mdude naye atakuwa huko kukamilisha mahitaji muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…