Kwa ushetani mwingi unaofanywa na CCM, serikali na viongozi wake, utulivu wa Tanzania unasababishwa na uvumilivu wa kupindukia wa wananchi.uko sahihi, uko makini na uko chonjo mbaya sana, comrade
Yes hicho ndicho.
bila ccm imara na madhubuti inchi itayumba....
Na si ajabu unajiita scholar uliyesoma vitabu vya kizee! Ahahahahaha! Tukisema Chadema Ina vijana wenye akili za nyumbu mtuelewe!Story za kizee hizi, huyo Nyerere mwenyewe alituvalisha viraka.
Mfano CCM ikae pembeni. Unafikiri kwa Tanzania ya Sasa, chama gani kinaweza kuongoza nchi? Kwa mfano tu!?Ikiwa miaka yote wao ndiyo wako Madarakani na nchi haikuyumba, kwanini wakiwekwa pembeni nchi iyumbe kama siyo wao CCM watakaoyumbisha??
CCM Ina utamaduni wa kuwalea vijana na Kisha kuwakasimu madaraka muda unapofika. Pia CCM Ina tabia ya kwenda na wakati yenyewe pamoja na viongozi wake ndio maana ipo madarakani Jana, Leo na kesho. Madam vijana wameaminiwa na chama basi jua wameiva.kwa kweli hii ccm ya sasa ni dhaifu, wazee wake wapo ila kuna vijana wahuni wamewaamini chamani na kuwapa madaraka ila hao vijana wanakiharibu chama na kuwa dhaifu badala ya kuwa imara
jamani nyie watakatifu mmekaa upande gani ili jamii ijoin pande izo asseeeeKwa ushetani mwingi unaofanywa na CCM, serikali na viongozi wake, utulivu wa Tanzania unasababishwa na uvumilivu wa kupindukia wa wananchi.
Ujinga, uharamia na ushetani mwingi uliowahi kufanywa na CCM, kwa nchi nyingine ingekuwa tayari ni sababu ya nchi kutokukalika.
Kwahiyo wewe husomi Biblia wala Quran sio? Basi sawa.Kauli ya mwaka 1995 unataka Ia apply Leo?
Nani kakuambia lazima Tanzania iongozwe na chama? Watanzania wenye uwezo wamejaa tele, ila hawataki kujitokeza kuhofia siasa za kipuuzi za vyama hususani ccm.Mfano CCM ikae pembeni. Unafikiri kwa Tanzania ya Sasa, chama gani kinaweza kuongoza nchi? Kwa mfano tu!?
Pole sana Dogo kwa kuamini hivyo.Mwalimu alikuwa sahihi. CCM imara ni ile inayoongoza kwa kuzingatia haki. Siyo hii CCM matapeli isiyo na ushawishi, iliyobakia kupora kura kama njia ya kubakia madarakani. CCM ya sasa ni mkusanyiko wa wahuni na majambazi.
alaaah,CCM ni janga. Sema inalindwa na polisi TISS na JWTZ. Bila hivyo hamna kitu.
Biblia na Quran sio vitabu vya lazima kwa Kila Mtu. Hivyo ni vitabu mnavyoviamini nyie mlioamua kuviamini. Usidhani Kila mtu anavipa umuhimu huo.Kwahiyo wewe husomi Biblia wala Quran sio? Basi sawa.
Ahahahahaha!!Biblia na Quran sio vitabu vya lazima kwa Kila Mtu. Hivyo ni vitabu mnavyoviamini nyie mlioamua kuviamini. Usidhani Kila mtu anavipa umuhimu huo.
Rasimu ya Warioba ila matakakwa yetu wananchi. Ila genge haramu lijiitalo ccm limechezea matakwa yetu. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi yatapelekea maoni Yale ya wananchi kutengeneza katiba Yao.alaaah,
sasa elekezeni jamii elekee wapi sasa kuepuka janga π
ili iwe salama
Kama wewe vile sio? Kwa maandishi hayo unayopost hata Mamaako HAWEZI kukuachia genge lake umuuzie sembuse nchi!? Ahahahahaha!!!Nani kakuambia lazima Tanzania iongozwe na chama? Watanzania wenye uwezo wamejaa tele, ila hawataki kujitokeza kuhofia siasa za kipuuzi za vyama hususani ccm.
Usishangae boss, hivyo vitabu kwako ndio vya maana sio kwa Kila mtu. Ingekuwa hivyo vitabu vina uwezo huo, tusingeona uhayawani wa wale wanaoapa wakiwa wamevishika mkononi.Ahahahahaha!!
Huu ujinga wa ccm kuamini hicho chama haramu tu ndio kinaweza kuongoza nchi, hata KANU ya Kenya walijidanganya hivyo hivyo, Leo hii KANU haipo, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko wetu.Kama wewe vile sio? Kwa maandishi hayo unayopost hata Mamaako HAWEZI kukuachia genge lake umuuzie sembuse nchi!? Ahahahahaha!!!
Rasimu ya Warioba ila matakakwa yetu wananchi. Ila genge haramu lijiitalo ccm limechezea matakwa yetu. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi yatapelekea maoni Yale ya wananchi kutengeneza katiba Yao.
Tukubaliane kumfukuza Paul Makonda a.k a DAUDI ALBERT BASHITEUhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania
Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere
Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM
Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,
Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka
Makundi hayana afya ya muda mrefu
Warioba Hana katiba, yeye alikuwa Mwenyikiti wa kamati ya kukusanya maoni ya wananchi, kisha yakawekwa kwenye rasimu. Usichanganye katiba na rasimu. Maoni Yale yalikusanywa kisheria, na ulikuwa mchakato halali na huru. Unaposema katiba ya mtu unaonekana umekijita kwenye siasa za Hila zaidi.machafuko ya hali ya hewa au mchafuko wa tumbo?
jeshi la wokovu π
kama mnataka katiba ya warioba si muende akawapatie, si yupo mzee huyu ambae sote tunampenda na tunamuheshimu sana....
2026 tuaanza mchakato wa kupata katiba mpya ya wananchi wa Tanzania wote sio ya fulani....
2026 unaanza mchakato wa katba mpya upya.Warioba Hana katiba, yeye alikuwa Mwenyikiti wa kamati ya kukusanya maoni ya wananchi, kisha yakawekwa kwenye rasimu. Usichanganye katiba na rasimu. Maoni Yale yalikusanywa kisheria, na ulikuwa mchakato halali na huru. Unaposema katiba ya mtu unaonekana umekijita kwenye siasa za Hila zaidi.
Nasema hivi, machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatatupa katiba ya wananchi, sio ya genge hatari la ccm.
JK alikuwa anamtaka membe lakini wazee walikataa wakamtaka JPM JK angeamua kutumia nafasi yake kama Mwenyekiti ni dhahiri membe angakuwa mgombea wa CCM lakini walipokaa na kukubaliana hata kama hakufurahishwa JPM akawa mgombea na Rais wa JMTkukubaliana kutofautiana ni Jambo zuri sana kwa mustakabali wa uimara na uhai wa Taasisi