Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kwa ushetani mwingi unaofanywa na CCM, serikali na viongozi wake, utulivu wa Tanzania unasababishwa na uvumilivu wa kupindukia wa wananchi.uko sahihi, uko makini na uko chonjo mbaya sana, comrade
Yes hicho ndicho.
bila ccm imara na madhubuti inchi itayumba....
Ujinga, uharamia na ushetani mwingi uliowahi kufanywa na CCM, kwa nchi nyingine ingekuwa tayari ni sababu ya nchi kutokukalika.