Sasa si umesema maneno yanaumba?Ndio nimesema mm ila sijasema sentensi hii "Mm ni billionea Mkubwa kumpita Elon Musk" hiyo umesema ww.
Kwani intelijensia ya watesi wa Chadema imeshindwa kung'amua! Wafunge njia zote kudhibiti.Mipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Ingekuwa vyema kama ungeanza kwa kuelewa kwanza nin maana ya kauli 'maneno yanaumba', badala ya kurukia tu dhana hiyo bila kuielewa vyema, halafu ukatoa mifano very plain ya juu juu isiyo na kina.Sasa si umesema maneno yanaumba?
Na hayo si maneno?
Unakataa nini sasa?
Unasema maneno hayaumbi?
NitarudiMipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Swali ni rahisi tu. Maneno yanaumba au hayaumbi?Ingekuwa vyema kama ungeanza kwa kuelewa kwanza nin maana ya kauli 'maneno yanaumba', badala ya kurukia tu dhana hiyo bila kuielewa vyema, halafu ukatoa mifano very plain ya juu juu isiyo na kina.
Uzi unapanda sana huu mkuu na Hamna naekupinga we utakuwa una kituNitarudi
Punguza maneno Mkuu haya yanaenda kuharibu lengo la huu uziSwali ni rahisi tu. Maneno yanaumba au hayaumbi?
Ukitaka kuwa mshairi wa Kivogoni unaweza kusema kama Samia kwamba Tanzania tuko vizuri kiuchumi kuliko Ulaya na Marekani.
Je, hilo linamaanisha Tanzania tuko vizuri kiuchumi kuliki Ulaya na Marekani?
Maneno hayaumbi. Yangeumba wale waliosema risasi za Wajerumani zitageuka maji kwa wao kusema Maji wangeshinda vita, risasi za Mjerumani zingegeuka maji.
Maneno yangekuwa yanaumba Samia kwa dua zenu za kuku zisizompata mwewe hapa angekuwa kashajifia mbali zamani sana.
Wewe unasema maneno yanaumba, mwenzako Samia anasema maneno matupu hayavunji mfupa.
JF ni forum huru.Punguza maneno Mkuu haya yanaenda kuharibu lengo la huu uzi
usinene ukamara,Madam kikwete anaishi, hakuna mpango mwovu dhidi ya raisi utakaofanikiwa. Na wote watakaojaribu watakuwa na mwisho mbaya.
Amini Amini nakuambia hakuna chochote kitakachotokea. Na oktoba uchaguzi uko palepale.
Mkuu mbona umepaniki aisee 🤣JF ni forum huru.
Hapa unataka kunifanyia censorship nisijieleze kwa uhuru wangu.
Jibu hoja kwa hoja, usinipangie kusema.
Kama naona uzi umejaa ujinga wa ramli nawaambieni tu.
Kama unaweza kupinga hilo, pinga tu.
Usiniambie nipunguze maneno.
Ukisema hivyo inakuwa kama umeshindwa hoja unaninyamazisha kwa nguvu.
Sijapaniki.Mkuu mbona umepaniki aisee 🤣
Hapo juu Umeandika maneno huumba mara Elon Musk mara blaah blaah ndio nini sasa?
Unaonekana upo pragrammed kama roboti, unaamini kwamba kila nadharia lazima iwe imethibitishwa maabara ili ikubalike. Sikulaumu, labda ndivyo ulivyo. Mtazamo wako umefungwa tu kwenye ukweli unaoweza kupimwa kisayansi ( a very programmed mindset) bila kwenda mbali zaidi ya hapo. Lakini dhana ya 'maneno yanaumba' inapita mipaka ya sayansi peke yake, inagusa pia saikolojia, imani, falsafa na hali ya kiroho. Kwa bahati mbaya, upeo wa fikra zako hauwezi kushughulikia undani wa nadharia hizo, basi ibaki hivyo 'maneno yanaumba.Swali ni rahisi tu. Maneno yanaumba au hayaumbi?
Ukitaka kuwa mshairi wa Kivogoni unaweza kusema kama Samia kwamba Tanzania tuko vizuri kiuchumi kuliko Ulaya na Marekani.
Je, hilo linamaanisha Tanzania tuko vizuri kiuchumi kuliki Ulaya na Marekani?
Maneno hayaumbi. Yangeumba wale waliosema risasi za Wajerumani zitageuka maji kwa wao kusema Maji wangeshinda vita, risasi za Mjerumani zingegeuka maji.
Maneno yangekuwa yanaumba Samia kwa dua zenu za kuku zisizompata mwewe hapa angekuwa kashajifia mbali zamani sana.
Wewe unasema maneno yanaumba, mwenzako Samia anasema maneno matupu hayavunji mfupa.
Wewe ngumbaru hata huelewi kuwa saikolojia ni sehemu ya sayansi.Unaonekana upo pragrammed kama roboti, unaamini kwamba kila nadharia lazima iwe imethibitishwa maabara ili ikubalike. Sikulaumu, labda ndivyo ulivyo. Mtazamo wako umefungwa tu kwenye ukweli unaoweza kupimwa kisayansi ( a very programmed mindset) bila kwenda mbali zaidi ya hapo. Lakini dhana ya 'maneno yanaumba' inapita mipaka ya sayansi peke yake, inagusa pia saikolojia, imani, falsafa na hali ya kiroho. Kwa bahati mbaya, upeo wa fikra zako hauwezi kushughulikia undani wa nadharia hizo, basi ibaki hivyo 'maneno yanaumba.
#TikiKwaSamiaTunaahukuru Mkuu, haya shusha nondoo.
Ww kiranga ni atheist aliyekubuu Kuna nadharia kwa akili Yako hiyo itakuwa ngum kuzielewa, bali unabakia kama mjinga wa kudum aliyeshindwa kuelewa nadharia hizo msingi usifikie level ya upumbavu.Wewe ngumbaru hata huelewi kuwa saikolojia ni sehemu ya sayansi.
What's wrong with being an atheist?Ww kiranga ni atheist aliyekubuu Kuna nadharia kwa akili Yako hiyo itakuwa ngum kuzielewa, bali unabakia kama mjinga wa kudum aliyeshindwa kuelewa nadharia hizo msingi usifikie level ya upumbavu.