Talking too theoretical#TikiKwaSamia
Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
Reforms zitafanyika nanuchaguzi utakuwepo!Mkuu umeunga mkono juhudi?
Reforms zitafanyika, uchaguzi utakuwepo. Uchaguzi utasogezwa mbele au utafanyika October kama kawaida?Reforms zitafanyika nanuchaguzi utakuwepo!
Tujiandae ku tick!
Lolote lile linawezekana!!kama ilivyopangwa!!Reforms zitafanyika, uchaguzi utakuwepo. Uchaguzi utasogezwa mbele au utafanyika October kama kawaida?
Waebrania na wafilipi tuseme AMEEENMipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Kwani kuna nini?Amina
Uchumi wa Bando unavyosaidia kulipa deni la taifa!!Kwani kuna nini?
Hazipo mbona!ni uchumi wa bando unachangiwa!!Mie nadhani hizi tabiri zote kwa sasa, mngezipumzisha tu.
[emoji3]kwa hiyo waliowengi wanaongea ili maneno yaumbeManeno Yana nguvu ya kuumba. Ww hujui !?
Kwani mwandani/PS wa raisi bwanaZiara ya visiwani tuliambiwa ni ya siku moja.
Mpaka muda huu sjaona popote kama wamerud nyumbani.
Britannica atuletee za dr shika tu, mpaka sasa my all time favorite ni yoga wetu.Imeishia wapi ?
Tupe picha Yake akirejea Toka visiwani!Britannica atuletee za dr shika tu, mpaka sasa my all time favorite ni yoga wetu.