Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
πππhuyu au!Yule mgombea ubunge wa mpwapwa unamfahamu?
Ni propaganda tu za vijana wa Msoga na mkojani fc,Nikikumbuka habari za Kigogo zilikuwa hivi hivi. Dual la mwewe⦠tetesi mara paaap.
Kwa hizi trend za humu, naona kama wamebadili uwanja tu. Tunatumia jf
Nikilewa mniache sawa tumekuachaNa wewe usiturusherushe roho bure
Picha ya Imma akiwa Kwa tentKitendo cha Imma kuwepo pale nimeogopa mimi pia.
Huyu ajuza wenu ameshatoka ICU?Alijua kuua wengine yeye hawezi kuuugua na hata kufa?Muda wote mpo vibaraza vya uani kusengenya na kuzusha
Hata kwa Magufuli ilianza hivi hiviMadam kikwete anaishi, hakuna mpango mwovu dhidi ya raisi utakaofanikiwa. Na wote watakaojaribu watakuwa na mwisho mbaya.
Amini Amini nakuambia hakuna chochote kitakachotokea. Na oktoba uchaguzi uko palepale.
Itapendeza sana kama tanzia tutangaziwe kwa kushtukizwa tena usiku wa manane kudaeq
Mbona kama nyie ndiyo mnaokufa maana mnachoongea Sasa hata hakieleweki.Huyu ajuza wenu ameshatoka ICU?Alijua kuua wengine yeye hawezi kuuugua na hata kufa?
Tent la tapeliMipango yote tulishaifuta pale kwenye tent
Hivi kwanini Sasa CCM ni mashoga halisi?Hivi kwanini chadema wa Sasa wapo kama mashoga?!!!
Wanaitwa mawingaMna viherehere sana! Hakuna namna ya wewe kupata taarifa za mipango yeyote ile, zaidi ya assumptions, Mtu pekee alikuwa anajua kuleta nondo ni MAGAMBA MATATU tu, nyie mlio baki ni wapiga ramli chonganishi tu
Kuna muda unapita mule mule, ila sometimes unatumia upepo wa umaarufu kuzua taharuki!Mipango ni Mingi sana
βπ»βπ»βπ»βπ»βπ»βπ»
Britanicca
Mkuu code ya Imma imenipitaKitendo cha Imma kuwepo pale nimeogopa mimi pia.
Visiwani kule, baada ya kazi Kuna mapumziko ya kitalii.Ziara ya visiwani tuliambiwa ni ya siku moja.
Mpaka muda huu sjaona popote kama wamerud nyumbani.
Wachezaji wa KibrazilMkuu code ya Imma imenipita
Aiseeee, yaweza kuwa furaha, ila pale akionekana sehemu fulani amefanya ziara au mitandao yake kapost kitu, inavunja moyo na kusononesha.Huyu ajuza wenu ameshatoka ICU?Alijua kuua wengine yeye hawezi kuuugua na hata kufa?
Hiyo ndio inafaa!Kwani hakuna njia nyingine tofaut nahiyo,