Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Sio kweli, labda kama haujaelewa mada.
Hakuna basi ambalo halipakii wala kushusha abiria stendi ya Mbezi. Hii ni bila kujali kwamba basi hilo lina ofisi Shekilango ambako nako linapakia au kushusha.
Kwa kifupi, ni kosa kubwa kwa basi kutoingia stendi. Iwe ni stendi ya Mbezi, Kibaha, Stendi mpya Dodoma, Igumbilo, au yoyote ile.
Naona watu hamna reference...
Mathalani, basi la Sauli halipiti stendi ya Mbezi, na linaanzia safari zake hapo Urafiki kwenye ofisi zake mbili...sijui kama unafahamu hili?
Likitoka hapo linaenda simama Kibanda cha Mkaa, baada ya hapo linaendelea zake kwenda mikoani huko