PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Mtoa mada naona ni mgeni hapa DAR hiyo ndiyo shida yake inamsumbua.Kwani mapato ya stand yanategemea abiria kulipia getini au. Kwani zile ofisi ndani ya stand watu wanakaa Bure. Kila bus ni lazima liingie stand na kulipia. Siyo urafiki na Shekilango Kuna ofisi za mabasi tu. Hata Mbagala, Chanika, Temeke zipo.
Sikuhizi kuna mabus yanaanzia Chanuka yanakuja gongolamboto yanapakia alafu yanaenda Mpaka mbezi hii yote ni kwasababu ya ushindani WA biashara