Je, Shekilango na Urafiki ndio Stendi mpya za Mabasi yaendayo mikoani?

Naona watu hamna reference...

Mathalani, basi la Sauli halipiti stendi ya Mbezi, na linaanzia safari zake hapo Urafiki kwenye ofisi zake mbili...sijui kama unafahamu hili?

Likitoka hapo linaenda simama Kibanda cha Mkaa, baada ya hapo linaendelea zake kwenda mikoani huko
 
Kuna mabasi hayafanyi hivyo, soma hiyo post yangu ya juu
 
Nasafiri mara nyingi tanga - dar, huwa napanda magari ya tashirif yanaenda mtwara na masasi. Kwanza haya mabasi yanaenda stand mbezi Louis kushusha abiria kabla ya kwenda mbagala. Tunaoenda mjini kati wanatupa msaada Hadi shekilango. Sasa ubaya uko wapi? Wewe utakuwa wale pingapinga au mchawi.
 
Anakaa kwa mume wa Dada huyo haelewi maisha. Achana nae pimbi mleta mada.
 
Umeshaenda pale Magufuli stand siku za karibuni au umeambiwa tu?

Whether una tiketi au huna, hiyo 300 getting utalipa tu.

Unawajua Suma JKT?
Ni dhulma mnooo na wanaudhi sana!ule nafikiri ni mradi wa watu
 
Na wewe una support mawazo yaliyokufa ya mtoa mada.
Kwani shida iko wapi kwa makampuni kuweka ofisi zao karibu na wateja wao?
Hebu jaribuni kuangalia positivity, pale mbezi ni favorite kwa wakazi wa jirani na maeneo yale tu
 
mnoko wewe
 
Mabasi ya Abiria lazima yapakize abiria ktk Kituo cha Mabasi Magufuli, kinyume cha hapo ni uvunjifu wa sheria.
LATRA wanao wajibu wa kusimamia Sheria za usafirishaji wa abiria pamoja na mamlaka zingine.
tabia hii ikiachiwa italeta vurugu na itafikia mahala kila basi litajipakizia abiria wake mahala popote inpo jisikia.
maana ya kuwa na kituo cha Mabasi itakuwa hakuna tena.
Tafadhali Malaka husika zisimanie Sheria na Taratibu.
 
Kama hilo umeona ni tatizo huoni kuna haja ya kuwa na vituo kama cha magufuli maeneo ya katikati ya jiji, mbagala na sehemu zingine zenye uhitaji?
 
Kama hilo umeona ni tatizo huoni kuna haja ya kuwa na vituo kama cha magufuli maeneo ya katikati ya jiji, mbagala na sehemu zingine zenye uhitaji?
Hii ndio solution, huwezi kuwa na kituo kimoja jiji zima, kwa nini wasijifunze kwa wenzetu? Weka Samia Terminal Bagamoyo road, weka Majaliwa Terminal huko Mbagala(si wanapenda viitwe majina yao).
 
sio lazima kila mmoja aweke facility yake huko magufuli stendi, ukiangalia kuna wengine wanasema wanagari hadi ya mkoani Kigamboni, wengine mbagala Arusha kupitia Bagamoyo etc , hii pia ni kupunguza foleni kuubwa kama watu wote wangeelekea mbezi. Nacdhani pia hata huko walipo wanalipa kodi kama kawaida
 
Hii ndio solution, huwezi kuwa na kituo kimoja jiji zima, kwa nini wasijifunze kwa wenzetu? Weka Samia Terminal Bagamoyo road, weka Majaliwa Terminal huko Mbagala(si wanapenda viitwe majina yao).
Absolutely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…