Je, Shekilango na Urafiki ndio Stendi mpya za Mabasi yaendayo mikoani?

Kwani mapato ya stand yanategemea abiria kulipia getini au. Kwani zile ofisi ndani ya stand watu wanakaa Bure. Kila bus ni lazima liingie stand na kulipia. Siyo urafiki na Shekilango Kuna ofisi za mabasi tu. Hata Mbagala, Chanika, Temeke zipo.
Mtoa mada naona ni mgeni hapa DAR hiyo ndiyo shida yake inamsumbua.
Sikuhizi kuna mabus yanaanzia Chanuka yanakuja gongolamboto yanapakia alafu yanaenda Mpaka mbezi hii yote ni kwasababu ya ushindani WA biashara
 
sasa ya ubungo ilikywa tofayti?
 
Wewe inavyoonekana ni mhanga wa haya mabasi. Kuna ulichokiwa unapata sasa hupati. Senior saranga wa magufuli. Mengine yote ni umbeya tu. Ulitaka mabasi yalale stand ya magufuli? Kwako basi likifungua ofisi chanika basi lisipakie wala kushusha abiria ofisi ya chanika mpaka magufuli stand tu? Kalakabao!
 
Umasikini unakutesa
 
Wabongo ni moja ya watu maamuma sana...

Yaani ukimpa mfano, basi huufanya mfano kuwa habari kamili...

Kama unaishi Dar es salaam, fika maeneo tajwa kafanye utafiti, na kama unaishi Kigonsera huko endelea kusoma tu comments
We utakuwa abiria wa Ngorika maana sio kupanic hulo
 
Zilipaswa kuwa ofisi tuu sasa wamezigeuza stand kabisa. Money talk my brother
Nini maana ya ofisi Mtoa hoja ana wivu wa kijinga sana, fikiria MTU unakaa Sinza, Mwenge, Mburahati, Ubungo na kwingineko makampuni yanaamua kutoa huduma kwa wananchi kuwapunguzia Mzigo wa gharama za Bajaji, Taxii, Uber na kadhalika na kuwaingiza katikati ya Mji bila gharama ya Ziada!!! Yaani ndio utagundua waafrika no Kizazi cha laana!! Waheshimiwa Wabunge wa majimbo husika ndio muda wa kuonyesha mshikamano na hawa wenye Mabus!!
 
Sauli ana maBus mengi, huenda mojawapo la lililojaa likikiona chart imejaa halina wa kwa Magufuli linapitiliza, NI MAKOSA.
tukirudi kwenye Mada Mama Rais Samia alilaumu huu ukurupukaji wa Ujenzi bila kushirikisha wadau, akitoa mfano soko la Ndugai Dodoma halina wateja kwani lipo nje ya Mji na stand pia zimewekwa mbali zikihitaji nauli 2
Majaliwa karuhusu maBus kutembea usiku sasa ni salama kuliko kushushwa Mbezi usiku saa 6
 
Upo sahihi kabisa WAPIGA DEBE WANA COMMISSION yao Sasa wamenunua vyumba au ofisi wakitaka usiku wa manane tukagombanie kwao.
MaBus ya ABC ya Njombe,Singida Dodoma yanaanzia Manzese huduma zote zinapatikana hapo km vyoo safi, hotel, usafiri wa kwenda Guest km Kariakoo na utunzaji wa mizigo Sasa Nani aende Magufuli wakati tiketi za electronic zinapatikana hapo tena bei rahisi
 
Lazima sheria za jiji zifuatwe pamoja na kulinda mazingira.
 
Unaweza nitajia bus moja tu ambalo haliingii stand ya mbezi?
 
Nijuavyo mm pamoja na kuwa na ofs.apo lkn gari uwa zinapita stendi ya mbezi ila km hazipiti,gari zpo nyng,si lazima upande hzo.Panda gari nyngne....
 
Kiongozi,
Kituo cha mabasi maana yake ni sehemu ya kupakia na kushusha Abiria na mali zao. Nafikiri mahali pa kuliweka basi baada ya kutimiza jukumu lake la msingi lina muhusu zaidi mmiliki.
Hivi umewahi kufikiri kuwa, kila mwenye basi Dar apeleke pale stand ya magufuli kusubiria ratiba au pengine lilalie pale unafikiri stand itaweza kuyabeba hata nusu?
Lakini ujue pia baada ya safari ndefu za mikoani, mabasi mengi hufanyiwa service ndogo ndogo na mengine service kubwa kulingana na hali ya basi ilivyo hivyo, stand haiwezi kufanywa garage
 
Roho mbaya tu..hao hupeleka kwenye gereji zao..ambapo gari hufanyiwa service kabla ya kuanza safari tena..sasa ulitaka service wafanyie mbezi mwisho stendi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…