Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Shetani ni nafsi yako inapotenda kinyume na matakwa ya Mungu. Jiangalie ulivyo ujue ukitenda kinyume na makusudio ya Mungu basi Shetani ndivyo alivyo ni wewe.
 
Elezea kidogo namna mashetani wanavyozaliana
 
ukweli hatuabudu sanamu bali mtu alie mbinguni...Lile sanam walolifanya wazungu wana agenda yao.Anyway kama ulimaanisha mzungu ndo huyo shetani haya...Mwarabu ye malaika..Umeshinda
 
ukweli hatuabudu sanamu bali mtu alie mbinguni...Lile sanam walolifanya wazungu wana agenda yao.Anyway kama ulimaanisha mzungu ndo huyo shetani haya...Mwarabu ye malaika..Umeshinda punguani mwenzangu!
 
FaizaFoxy mfano mtu akiniibia au kunishawishi nitende dhambi, je huyo tutamchukulia kama nani? Je, kuna roho iitwayo shetani imemfanya kuniibia au ni yeye binafsi? Kama ni shetani, amemfikiaje huyo ndugu?
 
ukweli hatuabudu sanamu bali mtu alie mbinguni...Lile sanam walolifanya wazungu wana agenda yao.Anyway kama ulimaanisha mzungu ndo huyo shetani haya...Mwarabu ye malaika..Umeshinda
Hiyo ya kuabudu nayo ni issue hatujui. Mtu anaweza kwenda kanisani miaka na mikaka bila kuabudu. Kuabudu ni somo deep. Swali, shetani ni nini na je, kwa nini Mungu amuache tu kutuvuruga?
 
Tunaamini Mungu ana nguvu kuliko kila kitu, alituumba ili tuishi kwa wema. Kwa nini alimuacha shetani kutuvuruga na akijua hatumuwezi shetani? Shetani ni kijitu gani?
 
Kama wewe unaamini kuwa kuna malaika walimuasi mungu wakafukuzwa ndiyo mashetani,basi utagundua kwamba baada ya wao kuasi ndipo walipopata hiyo sifa mbaya ya ushetani,hivyo hata binadamu aweza kuwa na sifa ya kishetani. Majini ni viumbe nao kama walivyo binadamu.
 
Tunaamini Mungu ana nguvu kuliko kila kitu, alituumba ili tuishi kwa wema. Kwa nini alimuacha shetani kutuvuruga na akijua hatumuwezi shetani? Shetani ni kijitu gani?
Kuishi kwa wema ndiyo kupi huko?vp kuhusu pepo na moto?
 
Tunaamini Mungu ana nguvu kuliko kila kitu, alituumba ili tuishi kwa wema. Kwa nini alimuacha shetani kutuvuruga na akijua hatumuwezi shetani? Shetani ni kijitu gani?
Hapa mi mwenyew pananishinda mshana anasema shetani n roho, wengne wanatuambia n malaika waliomuasi mungu, wengine wanasema shetani Wa MTU ni MTU kwa maana hata MTU anaweza kuwa shetani. Kila MTU anasema vyake
Havieleweki

Labda tuambiwe ipi asili ya shetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…