Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Wanasema hata uwe kauzu vipi huwezi kujamba wakati unatongoza,, ila mimi nilijamba aiseh Nashukuru ilikua in silence mode halafu haikunuka kabisa [emoji23][emoji28][emoji1]

Tupo school hapo, kuna demu ana asili ya kiarabu jina lake Latifa. Huyu mtoto tulikutana kwenye mchezo wa volleyball. Yeye na wenzake walikua hawajui so wakawa wananyanyasika sana. Mzee mzima nikawa nawatetea lakini sababu kubwa ni huyu Latifa.
Katika kujali kwangu mtoto akatokea kunielewa. Lakini mzee mzima nilikua mgumu (hip hop) sana. Kitu pekee nilikua nawaza wakati huo ni kupiga chetezo kanisani na kuishabikia Man u ya Sir Alex.

Washkaji wananiambia dogo anakuelewa lakini me sina habari domo lote limejaa gundi. Kiukweli nilikua nampenda lakini nikitaka niende nafikiria hadhi yangu na uzuri wake + mabishoo wa shule wanaomtongoza basi naishia kukata tamaa, kifupi nilijidharau sababu she was so hot shule nzima.

Wanangu wakaona isiwe tabu maana wameni push wapi nimegoma wakaamua wanisakizie. Siku moja mapindi yameisha tupo free, jamaa angu mmoja akamfuata mtoto akaja nae mimi nilikua sina habari. Ghafla nikashangaa mtoto huyu hapa, jamaa nae alivyo na mbwembwe akamwambia Latifa naomba umsikilize kwa makini ndugu yangu huyu mpe nafasi usije ukamuua bure halafu akasepa.

Huku nyuma akaacha kivumbi na hapo sasa ndo ilikua balaa, mapigo ya moyo yakaanza kwenda faster, kiswahili kikageuka kingereza [emoji23] kikawa hakipandi kabisa ni kama nacho kilikuja na meli. Na mtoto alivyokua anajiamini muda wote ananiangalia usoni, ukicheki macho meupe kama Selena Gomez, basi mimi nguvu ndo zikawa zinaniisha kabisa kilichofuatia hapo mpaka leo nikikumbuka hua nacheka sana

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
nini kilijiri ndugu maana umeikatisha kwenye uhondo
 
bana ee mm nakumbuka kulikuwa na dada alikuwa anaitwa Hamisa..form 2 shule 1 old mosh kilimanjaro nilikuwa nampenda sana lkn kumtongoza siwez..nikaenda kwenye dawat lake nikaandika"hamisa nakupenda sana basi tu nashindwa kukuambia"..bac kesho yake asubuh dem akasoma ile meseji..akaja mbele ya darasa akauliza n nan kaandika ile meseji..darasa karibia lote kicheko

Basi siku 1 nikamwambia jamaa angu mmoja kuwa namwelewa sana yule demu..jamaa si akaenda kuwaambia washkaj..bac washkaj wakamfata dem wakampanga then wakaja nae kwenye dawati langu..wakamkalisha..then wakazunguka duara wanampamp mtoto anielewe..sasa dem akasema"et simba mteme kwel unanipenda?"...aisee nilitoka nduki brek ya kwanza choon presha juu..yan nikikumbukaga kile kituko huwa nacheka sana

Hahah na ww imetosha sana😁😁😁😁😁😁
 
ilikua form 3 hiyo Kuna mamrax mmoja nilimuelewa ni kinomaa mzee baba ila kutongoza nikawa sijui na ninamuogopa.... ikabidi nikaazime madini kwa chalii yangu mmoja, nikamfata nikamwambia oy mwamba nifundishe kutongoza mi kuna mchuchu nimemuelewa balaa..

Jamaa yangu akaanza knifundisha kutongoza ili nimuibukie mtt mkali Tina (Christina)
Jamaa akaniambia mfate Dem na umuangalie machoni usiangalie pembeni na umwambie maneno haya "Tina sijawahi kuona mwanamke wa ndoto zangu ila siku ya Kwanza kukuona wewe ndiyo siku niliyo muona mwanamke wa ndoto zangu nakupenda Sana"
Jamaa akaniandikia hayo maneno kwenye karatas nikaenda kuyakariri siku nzima usiku nikishtuka nawasha taa nayasoma, asubuhi wakat najiaandaa kwenda shule nikayapitia tena had yakakaa kichwani.

Nilivyoenda shule sasa nikawa kila saa natoa kikaratas changu kwa Siri huk mwalimu anafundisha mi nakisoma kikaratas muda wa break ulipofika nikamvizia Tina yuko mwenyewe niende kumwambia yale maneno kabla ya kumfata nikayasoma tena alaf nikamfata, nikwamwambia Tina mambo akanijibu poa, dah Yale maneno kichwan yakaanza kufutika nikajikuta namwambia "Tina sijawahi kuona ndoto zangu Hadi nilipolala Jana" ddoooh demu akanichana mbona sikuelewi hujawahi vipi kuona ndoto na Jana umeona nini ? Mikono yangu ikaanza kuloa jasho nikamwambia daah hapan nimekosea jana niliota tunajisomea hapa...[emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544] dahhh
 
Wakati niko olevel form 4 na necta ndio hiyo imekaribia nilikuwa najifanya mgumu, sina muda na mademu hadi siku moja wakati niko prepo pembeni yangu akakaa msichana mmoja wa form 3, kujaribu kumchunguza alikuwa serious na msuli ile mbaya, wakati prepo imeisha nikapata nguvu za ajabu nikanyanyuka na kumfuata hadi tukafika sehemu yenye giza (hapo yeye hana idea kama namfuata) kisha jikajikaza...

"mambo?

"poa

"hivi unaitwa nani?

"Rehema

"ahaa, sawa.

Nikajiona shujaa kumbe ni failure nyingine tuu. Yaani nauliza maswali kama polisi!?

Nikaona isiwe kesi
Nikaanza kuuliza wasichana wa darasani kwetu kuhusu msichana wa form 3 anaitwa rehema.

Naambiwa hakuna mtu kama huyo. Dah, basi bwana!

Zikapita kama wiki 2 hivi akaja tena kusomea darasani kwetu. Dah kila nikimuangalia halafu nikiangalia vitabu vyangu sielewi nasoma nini kabisa.

Wakati prepo imeisha akaondoka na rafiki yake kwenda bwenini, nikanyanyuka na kuwafuata, nilipowakuta.

"Mambo zenu?

(Wakacheka)halafu wakajibu...

"Poa

Angalau safari hii nikaweza kuongea nao mambo kadhaa halafu nikajitambulisha kisha nikamuuliza yule targeted jina lake.

This time akasema anaitwa Happy.
Nikamuuliza mbona ulisema unaitwa rehema? Akadai ni jina lake jingine.

Baada ya pale kila nikimuona namuangalia kwa kuibia hadi akawa kama anasanukia mchezo. Akawa anakuja darasani kwetu mara moja moja lakini mara hii na yeye akawa ananiangalia kwa kuibia.

Kiufupi sikujua baada ya pale nifanye nini lakini nilitokea kumpenda sana. Basi akaanza kutuma salamu kupitia wasichana wa darasani kwetu. Mimi nikaona siwezi chochote nikawa kama nimekata tamaa kabisa.

Basi siku moja kabla ya necta, yaani Jumapili kesho civics nikaletewa barua na msichana wa darasani kwetu.
Baada ya barua akaniambia yule pale kaniambia nikupe, nikanyanyua kichwa nikakutana uso kwa uso na Happy aliyekuwa anaongea na wasichana wengine pale mlangoni, dah moyo ukapiga paaah.
Kufungua nakuta best wishes na mambo mengine kama hayo mwisho kabisa I LOVE YOU. Kidogo nizimie.

Nikajikaza nikanyanyuka nikamfuata kisha nikamvuta hadi nje ya darasa kwenye giza.
Kwa sauti ya chini yenye msisitizo nikadeclare upendo wangu kwake.
Akaniambia anafeel the same kwangu.
Tukaongea wee mwisho tukawa tumeegemea ukuta, nikajikuta nakula mate. (Kesho necta!).

Ikabidi niage nikaendelee kusoma. Kufika darasani hakuna kitu kinaingia kichwani. Yaani hakuna.

Necta Nikafanya vizuri tuu. Kasheshe likaja kwenye kumuaga baada ya kumaliza shule...

Shule ilikuwa na utaratibu wakati wa form four kumaliza shule wasichana wanawekewa ulinzi wa hali ya juu. Basi nikakosa namna ya kumuaga face to face nikaandika ujumbe nikautuma ukiwa na contacts zangu na kila kitu lakini hadi leo hajawahi kunitafuta.

Tangu nizaliwe sijawahi penda kama vile, nakiri ni uzembe wangu uliofanya nimpoteze Happy hadi leo.

Samahani kwa uandishi mbovu.
 
Umetisha sna ndugu
 
Wallahi
 
Happy hajajua mume wake anakiri uku .....yan iyo ndio really issue
 
Stor kali sana [emoji1544] kwel uzembe ulikuponza [emoji23]
 
Sio uzembe tu sema hajazamilia kumpata happy Mimi najitolea kumtafuta happy ninavyoitaji;
1. Majina matatu ya happy
2. Shule waliosoma na mwaka
 
nini kilijiri ndugu maana umeikatisha kwenye uhondo
Nilikua nashindwa kumwambia mtoto kua nampenda hata kutumia lugha indirect kua namuelewa nilishindwa..
Nikawa naongea vitu hata havieleweki tena kigugumizi kingi (wakati sina kigugumizi)
Huyo mtoto nae alihisi kua nampenda, hadi anakuja aliamini kua namtongoza lakini alivyofika akaona vitu tofauti, kwa hiyo akawa ananiambia maneno ya kunileta moja kwa moja kwenye lengo husika

Kila nikiongea utumbo ananileta kwenye maada ananiambia "Eeenh niambie" mzee mzima nashindwa kufunguka naishia kujiuma uma lakini mtoto ananiambia tena "Mmmh niambie nakusikiliza" huku ananiangilia usoni.

Aiseh nilikua fala hadi siku moja demu mwenyewe akaniambia yani wewe (Jina langu) kusoma huwezi hata kuona picha hujui.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama kungekua na tuzo za madomo zege I'm sure kipindi kile ningezichukua zote.
 
Demu alikuelewa lakini au alikupangusa pia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo alinielewa mkuu, hadi naondoka shule yeye namuacha sikua nimekamilisha mission. Nikiwa kitaa nimemkatia tamaa kabisa yeye alinitafuta tukaanza mahusiano lakini mimi nikasafiri mpaka tokeo linatoka nikaenda shule za mbali, kifupi sikula tunda. Ila mpaka leo ni mwashkaji wakubwa tu, mara moja moja ananitaniaga eti wanaume wote wangekua kama wewe wangeiona pepo.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Nilikua nashindwa kumwambia mtoto kua nampenda hata kutumia lugha indirect kua namuelewa nilishindwa..
Nikawa naongea vitu hata havieleweki tena kigugumizi kingi (wakati sina kigugumizi)
Huyo mtoto nae alihisi kua nampenda, hadi anakuja aliamini kua namtongoza lakini alivyofika akaona vitu tofauti, kwa hiyo akawa ananiambia maneno ya kunileta moja kwa moja kwenye lengo husika

Kila nikiongea utumbo ananileta kwenye maada ananiambia "Eeenh niambie" mzee mzima nashindwa kufunguka naishia kujiuma uma lakini mtoto ananiambia tena "Mmmh niambie nakusikiliza" huku ananiangilia usoni.

Aiseh nilikua fala hadi siku moja demu mwenyewe akaniambia yani wewe (Jina langu) kusoma huwezi hata kuona picha hujui.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama kungekua na tuzo za madomo zege I'm sure kipindi kile ningezichukua zote.
Man of our kind.....ndio maana uzoefu ni kigezo kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom