Mpaka majeshini, Mara ya mwisho aliajiri wanajeshi madereva la Saba, form fail asali kwa wote , watu walikuwa madereva tax, hiace, Sasa hivi makopro ma mp, jk mwana Sana.Kwa upande wa ajira za walimu huyu Raisi alijitaidi sana. Wahitimu wakimaliza walikuwa wanapangiwa vitu.. pongezi sana kwake.
Umeziona post za udsm zilizotoka juzi, nusu ya zile post ni re advatise, PSRS waliwapelekea udsm watu wasio kidhi vigezo,Sipo PSRS ni mtoto wa masikini niliyepata ajira kupitia PSRS.. kama kuna udhaifu watajirekebisha. Ila kwa maono 30% wanaolalamikia mchakato wa PSRS ni wanaotaka connections , na PSRS wameziba , angalia ajira za juzi watu wengi wamepata.. mchakato ni wa haki ila kama kuna mapungufu endelea kuwapa maoni watafanyia kazi.
Kipindi Cha jk kama una ujuzi wowote Huwezi kuwa masikini, Yan vijana walilamba asali kimasihara sana mpaka raia wa nchi jirani Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo walimiminika bongo waliona fursa za kiuchumi ziko nyingi sana. wafanyabiashara walifanya kazi kwa uhuru, Mzumguko wa fedha ulikuwa wa kutoshaMpaka majeshini, Mara ya mwisho aliajiri wanajeshi madereva la Saba, form fail asali kwa wote , watu walikuwa madereva tax, hiace, Sasa hivi makopro ma mp, jk mwana Sana.
KiKwete alikuwa MTU wa watu bhana, anajua vipaumbele vya raia ,hakurupuki TU, kufanya mipango Kwa ajili ya nchi yakePia kuwepo kwa Elimu bure kumesababisha Serikali ikose pesa ya kuajili walimu wapya ,
Kikwete was the master of kila kitu anabidi Kupewa heshima yake.
Ivi unafikiri kama nina ndugu kama unavyo Sema ninashindwa kupita , Kwan wale Tra mwaka jana walipitaje PSRS, Tena walikuwa ni watu wengi sio ata mtu mmoja.Ewe Kilaza mwenye ndugu zako ambao unataka Wakushike Mkono Jua umeeumiw Nenda kapambana na wanaume wenzio PSRS sio Kutegemea Back up ya Mjomba
Hapo kwenye database kidogo kuwe na uwazi , pia mtu anapokuwa kwenye data base wasimtoe ndani ya miezi 6 kama wanavyofanya sasa. Na kwa upande wa panel nadhani napo waangalie kwenye mapungufu wajifunze..Umeziona post za udsm zilizotoka juzi, nusu ya zile post ni re advatise, PSRS wakiwapelekea udsm watu wasio kidhi vigezo,
Kuna maswali mengi ya kujiuliza hapa,
Kufanya interview pekee na kufaulu sio kipimo Cha 💯 kusema kwamba huyu mtu ana fiti kitengo fulan, Bali Kuna vigezo vingine kama nidhamu, kujituma kufanya kazi kwa bidii, kuwa mbunifu , kuweza kutoa maamuzi ya haraka na Kwa usahihi, kujiamini,.
Sasa hivi vitu Huwezi kuvikuta kwenye panels,
SS inategemea unakuta Kuna panels Kama tatu hivi ,1 ndio Iko poa hizo nyingine ni zamoto balaa, na placement zikitoka Ile panel 1 ndio inatoa watu wengi.
Kuna mengi sana humu kwenye database interview yanatokea
Changamoto wanazo nyingi kuzirekebusha hawataki wanaamua kuzifichaHapo kwenye database kidogo kuwe na uwazi , pia mtu anapokuwa kwenye data base wasimtoe ndani ya miezi 6 kama wanavyofanya sasa. Na kwa upande wa panel nadhani napo waangalie kwenye mapungufu wajifunze..
PSRC haina maana yoyote. Taasisi ziajiri zenyewe. Kinachofanywa na PSRC ni kudhalilishq watanzania, wanaitwa watu 1000 nafasiKutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI.
Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa wanapata ajira mapema, na wengine kubadilisha ajira kwenye taasisi tofauti ndani ya mwaka mmoja TU Yan,
So tunaomba maoni yenu Ili yawafikie wahusika
SWALI MTAMBUKA
Je Taasisi na mashirika wafanye saili kama kipindi Cha jk ?
HAPANAKwanini
utumishi
Wanatumia
Muda mrefu kuita watu
kazini
SWALI MTAMBUKA
Je Taasisi na mashirika wafanye saili kama kipindi Cha jk ?
Mshana Jr Bujibuji Simba Nyamaume @
Kindly write your comments
PSRC haina maana yoyote. Taasisi ziajiri zenyewe. Kinachofanywa na PSRC ni kudhalilishq watanzania, wanaitwa watu 1000 nafasi
moja siyo sawa. Tangia tupate uhuru tàasisi zimekuwa zikiajiri zenyewe, wao ndiyo wenye uhitaji waachiwe jukumu la kuajiri wenyewe kwa kadiri ya uharaka walionao, hawa jamaa wa tume kwanza wanachelewesha sana
Psrs wapuuz tuChangamoto wanazo nyingi kuzirekebusha hawataki wanaamua kuzificha
Umesema 💯 ukweli ankoli, Taasisi na mashirika waachiwe wafanye saili wenyewe kama zamani Kwan wao Ndio wanajua Mahitaji halisi ya Taasisi zao Kwa wakati muuafaka.PSRC haina maana yoyote. Taasisi ziajiri zenyewe. Kinachofanywa na PSRC ni kudhalilishq watanzania, wanaitwa watu 1000 nafasi
moja siyo sawa. Tangia tupate uhuru tàasisi zimekuwa zikiajiri zenyewe, wao ndiyo wenye uhitaji waachiwe jukumu la kuajiri wenyewe kwa kadiri ya uharaka walionao, hawa jamaa wa tume kwanza wanachelewesha sana
Lilikuwa ni wazo la kidikteta sana, kulazimisha Taasisi na mashirika yote wa recruiting kupitia PSRS.Magufuli yule alikuwa laana sana ,kavuruga kila kitu na kuweka mifumo yake ya kipuuz na mapandikizi yake kwenye mfumo ,ndio hayo yanayoendekeza bureaucracy na upuuz hadi sasa