Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

Je, Taasisi na Mashirika yafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

  • Ndiyo

    Votes: 29 49.2%
  • Hapana. PSRS iendelee kukanda tu 🤣

    Votes: 30 50.8%

  • Total voters
    59
  • Poll closed .
SS wewe apo unaje, kama vyuo vikuu wangefanya wenyewe saili haya matatizo yasingetokea.

Umuhimu wa PSRS uko wapi SS , zaidi TU munapoteza rasilimali fedha na muda
 
SS wewe apo unaje, kama vyuo vikuu wangefanya wenyewe saili haya matatizo yasingetokea.

Umuhimu wa PSRS uko wapi SS , zaidi TU munapoteza rasilimali fedha na muda
Ajira za Vyuo Vikuu,Majina wanachuja wao wenyewe,fuatilia saili za UDSM, UDOM,angalia unapeleka maombi Kwa nani.
Acha kukurupuka bwana Mdogo
 
Ajira za Vyuo Vikuu,Majina wanachuja wao wenyewe,fuatilia saili za UDSM, UDOM,angalia unapeleka maombi Kwa nani.
Acha kukurupuka bwana Mdogo
iyo jinbwayenge hana halijualo achaneni nae vyuo vikuu vyote vinaendesha usahili wenyewe PSRS ni wasimamizi tu halfu eti wapelekwe kazini warudishwe vituko ivyo urudishe watu uliowafanyia usahili mwenyewe
 
Hawa jamaa hawasahihishi mitihani.

Ni upotevu wa muda mtu kwenda kufanya interview zao.

Bora vijana wakajiajiri tu ila kama hunaa connection usipoteze muda wako kwenda huko.

Utapoteza muda na fedha na kazi hutapata.
 
SS wewe apo unaje, kama vyuo vikuu wangefanya wenyewe saili haya matatizo yasingetokea.

Umuhimu wa PSRS uko wapi SS , zaidi TU munapoteza rasilimali fedha na muda
wewe unaonekana ubongo wazi kufanya usahili PSRS haimaanishi kwamba udsm,mzumbe,udom hawajafanyisha wenyewe hao PSRS ni wasimamizi tu wa mchakato wa ajira

panel karibia yote huwa inajaa watu kutoka taasisi husika mtu wa PSRS unakita ni mmoja au wawili tu acha upoyoyo
 
iyo jinbwayenge hana halijualo achaneni nae vyuo vikuu vyote vinaendesha usahili wenyewe PSRS ni wasimamizi tu halfu eti wapelekwe kazini warudishwe vituko ivyo urudishe watu uliowafanyia usahili mwenyewe
Dogo kama akili yake haipo sawa.Ngoja nimuache Kwa kweli.
Kuna vitu vingi sana Havijui,halafu nae akikaa nje anajihisi ni GT Wakati ni mtupu kabisa...Aisee ndio maana watu wanatudharau sana wasomi kupitia Wajinga wachache kama huyo bwana mdogo.
 
uyo jamaa ni empty ubongoli hajawai hata siku mmoja kuhudhuria izo interview akaona zinavyoondeshwa anajua kwamba psrs wanajua kila kada na wapo wenyewe tubkwenyw usahili hajui kwamba taasisi husika huwa ina watu wake kwenye panel ya usahili wa oral tena ni wengi kuzidi hata wanaotoka PSRS
 
kisa mjomba yupo taasisi fulani atakuvuta sasa umevimbiwa unataka psrs iondolewe ili watoto wa wakulima wasipate hata hicho kidogo wanachopata.

Wewe kama unauwezo nenda Dodoma kapambane upate ajira.

Hakuna tasisi isiyo na changamoto,PSRS changamoto zake zinatatulika,wanafanya kazi kubwa kwa vijana wacha waendelee na majukumu yao kama kawaida.

Serikali yenyewe ndo iliona ukiritimba uliopo kwenye hizo taasisi ndo maana wakaipa jukumu PSRS mpaka sasa watatoto wa wakulima wapo TRA,eGA, TPDC,TPA,TANAPA,PURA etc...lakini ukirudisha majukumu hayo kwa hizo taasisi mtoto wa mkulima asahau kufanya kazi kwenye hizo taasisi.
 
Ajira za Vyuo Vikuu,Majina wanachuja wao wenyewe,fuatilia saili za UDSM, UDOM,angalia unapeleka maombi Kwa nani.
Acha kukurupuka bwana Mdogo
Majina wanachuja kutoka wapi , si Katika orodha yenu mlio wapelekea nyie.
 
Sorry Kwa kupotea online.

Majina Wanayo pewa vyuo ni wale waliopita written ambayo pia chuo hakikusimamia Kwa asilimia 💯.

Swali ni je mbona Best students wengi hatuwaoni kwenye oral, ?

Shida Inakuja wanaofika oral ,sio wale wanaofahamika Kwa uwezo wao kitaaluma na school department, so hii inaleta shida sana kwenye panel ya oral kumtafuta mtu SAHIHI anaye FAA.

Tofauti na kipindi Cha nyuma vijana Hawa walikuwa wakilelewa na chuo , hivyo kuendelea kupata ujuzi zaidi Katika Taaluma na ufundishaji

Huwezi kumpata tutorial assistant Kwa siku Moja kwenye oral interview useme huyu anafaa, kwenda kuwa msaidizi wa Senior lecturer( PhD).

TA wanaandaliwa jamani , elimu msiichukulie kirahisi Ivyo,

Sio Kila kazi zipelekwe PSRS, Kuna kazi zinaitaji usimamizi wa TAASISI KWANZA kabla hawajaamua kufanya nae kazi permanent.

Ila Kuna kazi za chapchap kama za halmashauri, hizo chukueni, Kwa sababu haziitaji watu makini sana
 
Wewe tueleze changamoto ambazo PSRS wamezitatua mpaka Sasa?
 
Wewe ni mpumbavu na mjinga hujui kitu chochote.Ngoja tukuache.Akili yako ikikua ndio uje
 
Kwa taarifa niliyopewa kama ni kweli BaSi majobless wanafungua ukurasa mpyaa
 
Mawakala wanahasira kinoma 😁, tokea Simba awaweke kitimoto juzi, nikama gov wanataka kuwapunguzia asali kutoka kwenye bakuli mpaka kwenye kikombe Cha kahawa
Wewe ni mpumbavu na mjinga hujui kitu chochote.Ngoja tukuache.Akili yako ikikua ndio uje
 
Yan eti kisa mtu anafanya internship TRA kupitia TAESA, bas kutwa kwenye platforms kupiga kelele taasisi ziajiri zenyewe ili abwebwe na taasis kuanzia written. Yan huyo jamaa n ubinafsi tu ndo unamsumbua, karopoka kwenye huo Uzi kaona haitoshi aanzishe Uzi kabisa. Anawaza kibnafsi sana.
 
Huko
Mbona hayo yote yanafahamika kuwa hapo mnatoa kazi kwa kujuana tu.

Hakuna kusahihisha mitihani interview zote ni kudanganya tu watu.

Mnapotezea watu muda na fedh

Ajira za Vyuo Vikuu,Majina wanachuja wao wenyewe,fuatilia saili za UDSM, UDOM,angalia unapeleka maombi Kwa nani.
Acha kukurupuka bwana Mdogo
Huyu ni kumpuuza tu, hujui ata anachokiongea. Mwezi Feb kulikua na interview za post za udsm, interview zmefanyika udms wasimamizi ni hao hao udsm bila kusahau psrs nao walikuwepo. Yan yuko tayari ata kuleta data za uongo ili tu lengo lake litimie. Saili za vyuon zinafanyika chuo husika afu mtu anakuja hum kudanganya watu mchana kweupe kbsa.
 
Hawa jamaa hawasahihishi mitihani.

Ni upotevu wa muda mtu kwenda kufanya interview zao.

Bora vijana wakajiajiri tu ila kama hunaa connection usipoteze muda wako kwenda huko.

Utapoteza muda na fedha na kazi hutapata.
Jengeni hoja zenye mashiko basi na ss tuwaelewe tuungane na nyie kudai icho mnachokidai
 
Best students huwaoni kweny oral?
Kivip yan kwamba unawajua wote?
, ok bas saw huwaon, ko ww unaamin mtu akishakua tu best student bas anafaa kua TA. Na n nan alikuambia kila best student yuko interested na kua TA?..
My friend huu mfumo unaoulilia ndo umetupatia some of ma TA na lecturers ambao akisimama mbele aibu unaona wew had unawaza hii kazi aliipataje?
Sio kila mtu anaweza kufundisha ata kma ana GPA ya 5.0 acha watu wakandwe ban,, nawasalimu kwa jina la psrs na mikando iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…