Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

Jinga jingine hili hapa lisilojua chochote kuhusu uchumi wa Dunia!!
Tanzania inajitegemea na kwa kiasi kikubwa na inajiweza kiuchumi bila kubabaika na nchi nyingine na ina shirikiana na chumi nyingine duniani kwa maslahi mapana ya wananchi wa pande zote zenye uhusiono mwema na Tanzania bila kubabaika na kelele za wenye matatizo yao huko magharibi πŸ’
 
Wa kuchukua hatua hawa washabiki wa Yanga na Simba!
Labda ufungie hizo club...
Usiwakatie tamaa, wanaweza kupigika na shida wakanyooka ukashangaa!
Mbona Kenya hapo wapo mashabiki die hard wa Gormahia na wale wa AFC LeΓ²pard Lakini likija suala la kitaifa wanakiwasha tena bila kuangalia itikadi au ushabiki.
Mpira bado haujaharibu sana mentality za watu, takataka ni hawa wasanii. Kwanza hawana faida yeyote kwa taifa lakini ndio wanatumika kuhadaa watu wetu hasa vijana
 
China ndo Kila kitu Dunia ya Sasa!
 
Viongozi wa China kila siku wapo Ulaya kutafuta wawekezaji. Kama Chima inaona haiwezi kupiga hafua yamaana bila ya uwekezaji wakutokaUlaya, itakuwa nchi ya viongozi mamburula, kama Tanzania!!
Mafisadi wanadhani wanaweza kuishi bila ulaya. Wanajidanganya
 
nashangaa waropokaji kubabaika na ulaya legelege iliyogawanyika na inayoyumba na kugongwa makwenzi ya kiuchumi na marekani kila uchwao πŸ’
Kumbuka wafadhili wakubwa wa tz ni Ulaya.
Sasa inayoyumba ni ulaya au Tanzania chini ya wauwaji wa ccm.
 
Kumbuka wafadhili wakubwa wa tz ni Ulaya.
Sasa inayoyumba ni ulaya au Tanzania chini ya wauwaji wa ccm.
wana ukubwa gani gentleman hao ulaya?
si wangemaliza vita ya Ukraine na Russia kitambo tu kama ni wakubwa?πŸ’
 
Kwahiy ukandamizaji, ukiukwaji wa haki za kisiasa na uhuru wa kutoa maoni viendelee?
 
Si wana siasa za matukio mbona ulaya inajadili sana nchi za afrika sasa ww jipeleka kwa lile
Kontena lililovalishwa mabaka tarehe 30 April pale kihangaiko usubirie bunge la ulaya like kikaao
 

Hii ni kweli kabisa, yaani umepita mlemle!

Hawa wanaoropoka hapa inavyoonekana bado hawajui madhara ya vikwazo
 
Yaani bunge la mabeberu likae kwa dharura, inje ya ratiba yao?,
Baba Muhozi mpaka leo wamemshindwa, walimtishia, kisa Mateso ya mpinzani Besyge na kupigwa marufuku kwa uhuru wa Mashoga/gays. Aliwaambia we are no longer your colony and leave us alone.
 
Kwahiy ukandamizaji, ukiukwaji wa haki za kisiasa na uhuru wa kutoa maoni viendelee?
Viendelee ama visiendelee sio deal, mm nilikuwa najibu hoja kuwa maazimio ya Bunge la Ulaya hayata kuwa na athari yoyote kwetu kama nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…