Huo UJIRA wa elfu 20 unaopewa na serikali ya CCM ili kututukana ukikata baada ya vikwazo, akili zitakurejea tu...du, eti mashoga wa EU watuamulie maisha yetu ya siasa
Mimi siko CCM au chama chochote cha siasa, nasema UE pia wana toa adhabu ya vikwazo kama ushoga unazuiwa na Sheria za nchi, baadhi ya wabunge wao ni mashoga waliooana as law makersHuo UJIRA wa elfu 20 unaopewa na serikali ya CCM ili kututukana ukikata baada ya vikwazo, akili zitakurejea tu.
Ni ujima sana, wa TZ wote lazima wakubaliane na activism ya TAL na CDM, ukiwa tofauti basi ni CCM, hayo ni mawazo ya kijima yaliyopitilizaHuo UJIRA wa elfu 20 unaopewa na serikali ya CCM ili kututukana ukikata baada ya vikwazo, akili zitakurejea tu.
Mimi siko UE ila naongelea KEJELI na matusi yako humu JF dhidi ya sisi waapenda mabadiliko. Nakuhakikishia tukiwekewa vikwazo hizo pesa ambazo CCM wamekuwa wakizitumia kuwalipa ujira kiduchu wa elfu 20 ZITAKATA pia.Mimi siko CCM au chama chochote cha siasa, nasema UE pia wana toa adhabu ya vikwazo kama ushoga unazuiwa na Sheria za nchi, baadhi ya wabunge wao ni mashoga waliooana as law makers
Traole amefanikiwa kwasababu yeye kama Kiranja Mkuu pamoja na raia wa nchini mwake, wote wamesimama kwa pamoja. Je kwetu raia wako pamoja na Kiranja Mkuu?? Au yuko pamoja na chawa?? Hapo ndiyo penye mtihani.Dunia ya leo ukitegemea vikwazo utadumaa na kufanywa tena mtumwa ndani ya nchi yako ,amka ujiiganie hongela Traole.
πmi sitegemei CCM, mi niko huru (non-partisan) ila we kwa njaa yako unailamu CCM na unaamini CDM na vikwazo vya EU ndyo suluhisho la njaa zako.Mimi siko UE ila naongelea KEJELI na matusi yako humu JF dhidi ya sisi waapenda mabadiliko. Nakuhakikishia tukiwekewa vikwazo hizo pesa ambazo CCM wamekuwa wakizitumia kuwalipa ujira kiduchu wa elfu 20 ZITAKATA pia.
Unafananisha matango na π πTraole amefanikiwa kwasababu yeye kama Kiranja Mkuu pamoja na raia wa nchini mwake, wote wamesimama kwa pamoja. Je kwetu raia wako pamoja na Kiranja Mkuu?? Au yuko pamoja na chawa?? Hapo ndiyo penye mtihani.
Namkejeli nani, huwezi vumilia mawazo tofauti, yaani wewe ndyo universal standard? anayekuwa tofauti na msimamo wako, ni mtu wa hovyo?Mimi siko UE ila naongelea KEJELI na matusi yako humu JF dhidi ya sisi waapenda mabadiliko. Nakuhakikishia tukiwekewa vikwazo hizo pesa ambazo CCM wamekuwa wakizitumia kuwalipa ujira kiduchu wa elfu 20 ZITAKATA pia.
Mnajidai hayana athari but haiko kama uwazavyo!! Mziki ukiwa activated ndo utaelewa kuna impact ama la!!Viendelee ama visiendelee sio deal, mm nilikuwa najibu hoja kuwa maazimio ya Bunge la Ulaya hayata kuwa na athari yoyote kwetu kama nchi
Haohao machoko ndio mnawategemea muweze kuendesha nchi!!..du, eti mashoga wa EU watuamulie maisha yetu ya siasa
Mimi ni mdau wa mabadiliko tu. Njaa unayo wewe ambaye unahofu na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kwa kuogopa CCM iking'olewa utakosa ugali wako wahiyo posho ya elfu 20 tu.πmi sitegemei CCM, mi niko huru (non-partisan) ila we kwa njaa yako unailamu CCM na unaamini CDM na vikwazo vya EU ndyo suluhisho la njaa zako.
Jirani yetu Baba Muhozi (M7) walimtishia vikwazo kisa kwa sababu ya kumvuruga Besigye na kukataa ushoga, amewadindia mpaka leo yuko huru.
Umeshiba viazi ndio maana unaandika ushuzi.Hilo ni Bunge la Ulaya, kwa umoja wao huo hawana nguvu kumbuka sio Ulaya yote inatupatia mikopo, hapa kuna kina Norway, Denmak, Sweden, Uingereza (ambaye kwenye umoja wao yupo mguu nje mguu ndani, ni kama tu hayupo)hawa ndo the best kwetu ila hao wengine hawana msaada wowote kwetu
Sijui Serbia, Uhispania, Ureno nk kuna viinchi Ulaya sisi wenyewe kwa hivi hivi tulivyo tunaweza kuvikopesha
Na pia hii sio mara ya kwanza kutujadiliwa, mark my word utarudi kunikumbusha kama kuna kitu kitatokea
Mimi maisha yangu hayawi affected politics/any ruling party, except kukiwa na civil war, so sihitaji kuwa aligned na any political party, nina express uelewa wangu wa siasa, si lazima nikufurahishe wewe unayetegenea upepo ushindi wa chama ambacho ni impractical kuwa madarakaniMimi ni mdau wa mabadiliko tu. Njaa unayo wewe ambaye unahofu na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kwa kuogopa CCM iking'olewa utakosa ugali wako wahiyo posho ya elfu 20 tu.
The World is Living, Suffering is Your ChoiceMimi ni mdau wa mabadiliko tu. Njaa unayo wewe ambaye unahofu na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kwa kuogopa CCM iking'olewa utakosa ugali wako wahiyo posho ya elfu 20 tu.
Mazezeta, jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasiUko sahihi, lakini tumekuwa misukule kupita kiasi
Ni kweli nimeshiba ushuzi ndg yngUmeshiba viazi ndio maana unaandika ushuzi.
Hivi unaijua Hispania wewe?Hilo ni Bunge la Ulaya, kwa umoja wao huo hawana nguvu kumbuka sio Ulaya yote inatupatia mikopo, hapa kuna kina Norway, Denmak, Sweden, Uingereza (ambaye kwenye umoja wao yupo mguu nje mguu ndani, ni kama tu hayupo)hawa ndo the best kwetu ila hao wengine hawana msaada wowote kwetu
Sijui Serbia, Uhispania, Ureno nk kuna viinchi Ulaya sisi wenyewe kwa hivi hivi tulivyo tunaweza kuvikopesha
Na pia hii sio mara ya kwanza kutujadiliwa, mark my word utarudi kunikumbusha kama kuna kitu kitatokea