Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.
 
Walijenga viwanda zaidi ya 4000 kwa miaka 3. Maana yake Tanzania ina viwanda zaidi ya 1200 ya Ujerumani. Ujerumani wao wana viwanda 2800.

Ukija kwenye pharmaceutical industries ndio tunatisha, tunaagiza malighafi kutoka Madagascar maelufu ya tani. Nimr wanatengeneza madawa world class, kuna dawa yao hiyo mchanganyiko wa nyanya, pilipili, vitunguu maji, vitunguu saum, karoti, hoho kama kachumbari, tunaambiwa inatibu corona.
 
Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.
Sasa hv kaja na eti anataka Tz itoe msaada kwa nchi za ulaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Viwanda vipo kedekede na malaki ya watanzania wamekamatia ajira huko, hakuna tena tatizo la ajira.. yule aliyekuwa Waziri wa viwanda mkali wa propaganda aliyesomea china baada ya kukamilisha kazi nzito ya ujenzi wa maelfu ya viwanda tukampumzisha ale bata sasa baada ya kazi nzito...kilichobaki ni watanzania kuchapa kazi kwenye maelfu ya viwanda vyetu...
 
Miaka mitano zaidi ya viwanda 10000 vimejengwa, ajira kedekede..awamu ya tano inachapa kazi balaaa.. Hakuna haja ya kampeni Rais wetu apumzike tu kazi zake zinajieleza watanzania watamchagua tu...
 
Ndio Kiwanda hiki Mtani?

Ongezeko la watu ni moja ya kichocheo muhimu sana katika ukuaji wa uchumi haswa kwa nchi zinazoendelea
Mimi nna twins hapa nategemea kuwafyatua January
 
Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata hivyo vya cherehani na matofari vitakuwa vile vilivyokuwepo kabla yake. Walichofanya itakuwa ni kuviorodhesha tu ..... Hawa jamaa hawajui maana ya viwanda halafu leo wanatudanganya kuwa waitafanya Tanzania kama Ulaya!! Hahahaa ........... Kumbe Ubeberu mzuri!!
 
Pesa zote za viwanda wamezitumia kudhoofisha chadema kuua upinzani warejeshe mfumo wa chama kimoja
 
Kwa kweli ccm kwa uongo na ulaghai hawajambo!!! Na hawaoni aibu kutunga uongo mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…