Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Yaani toka mwaka 2018 song la Tanzania ya viwanda lilifia hapo .. wanasema eti wamejenga viwanda 8000 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .. viwanda vyenyewe ni cherehani 4 , wafyatuaji wa tofari, walanda mbao ..daaah ccm sijui safar hii watakuja na slogan ipi maana ya viwanda imekufa rasmi
Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.
 
Walijenga viwanda zaidi ya 4000 kwa miaka 3. Maana yake Tanzania ina viwanda zaidi ya 1200 ya Ujerumani. Ujerumani wao wana viwanda 2800.

Ukija kwenye pharmaceutical industries ndio tunatisha, tunaagiza malighafi kutoka Madagascar maelufu ya tani. Nimr wanatengeneza madawa world class, kuna dawa yao hiyo mchanganyiko wa nyanya, pilipili, vitunguu maji, vitunguu saum, karoti, hoho kama kachumbari, tunaambiwa inatibu corona.
 
Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.
Sasa hv kaja na eti anataka Tz itoe msaada kwa nchi za ulaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Viwanda vipo kedekede na malaki ya watanzania wamekamatia ajira huko, hakuna tena tatizo la ajira.. yule aliyekuwa Waziri wa viwanda mkali wa propaganda aliyesomea china baada ya kukamilisha kazi nzito ya ujenzi wa maelfu ya viwanda tukampumzisha ale bata sasa baada ya kazi nzito...kilichobaki ni watanzania kuchapa kazi kwenye maelfu ya viwanda vyetu...
 
Miaka mitano zaidi ya viwanda 10000 vimejengwa, ajira kedekede..awamu ya tano inachapa kazi balaaa.. Hakuna haja ya kampeni Rais wetu apumzike tu kazi zake zinajieleza watanzania watamchagua tu...
 
Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
RUSTEM PASHA,

Yaani toka mwaka 2018 song la Tanzania ya viwanda lilifia hapo, wanasema eti wamejenga viwanda 8000 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Viwanda vyenyewe ni cherehani 4, wafyatuaji wa tofari, walanda mbao. Daaah CCM sijui safar hii watakuja na slogan ipi maana ya viwanda imekufa rasmi.
Hata hivyo vya cherehani na matofari vitakuwa vile vilivyokuwepo kabla yake. Walichofanya itakuwa ni kuviorodhesha tu ..... Hawa jamaa hawajui maana ya viwanda halafu leo wanatudanganya kuwa waitafanya Tanzania kama Ulaya!! Hahahaa ........... Kumbe Ubeberu mzuri!!
 
Mheshimiwa Rais,

Kwa sasa sijasikia ukizungumzia Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya viwanda, ambayo itatoa ajira kwa vijana kulingana na wingi wa viwanda hivyo, vijana ambao wako mtaani licha ya kuhitimu fani mbalimbali, sasa nilitaka nifahamu ile Tanzania ya viwanda uliyoinadi 2015 imeshakamilika?

Kama imekamilika unapozunguka katika kampeni waeleze wananchi Tanzania yako ya viwanda uliyoahidi imeshakamilika ili ujizolee kura nyingi, kwa vijana ambao wamepata ajira katika viwanda hivyo ulivyoahidi.
Pesa zote za viwanda wamezitumia kudhoofisha chadema kuua upinzani warejeshe mfumo wa chama kimoja
 
Kwa kweli ccm kwa uongo na ulaghai hawajambo!!! Na hawaoni aibu kutunga uongo mwingine!
 
Back
Top Bottom