Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
Kabla ya kutuahidi Tanzania kua kama ulaya watuoneshe hvo viwanda kwanza ili tuone uoelekeo wao isije ikawa fiksi tu kama fiksi zingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nao ni viwanda kumbeeFyatueni tu Watoror, hakuna kutumia kondom wala uzazi wa mpango....
Yaani Tz Kama tuna viwanda kweli bc sidhani Kama vinazidi 200 ..mbali na hapo ni uzushi tuKabla ya kutuahidi Tanzania kua kama ulaya watuoneshe hvo viwanda kwanza ili tuone uoelekeo wao isije ikawa fiksi tu kama fiksi zingine
Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.Yaani toka mwaka 2018 song la Tanzania ya viwanda lilifia hapo .. wanasema eti wamejenga viwanda 8000 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .. viwanda vyenyewe ni cherehani 4 , wafyatuaji wa tofari, walanda mbao ..daaah ccm sijui safar hii watakuja na slogan ipi maana ya viwanda imekufa rasmi
Hizo Ni fiksi tu hata hivo 200 Ni vile vilivyokuepo kabla ya awamu ya 5 kuingia madarakani awamu hii sudhani kama hvo viwanda vinafika hata 10Yaani Tz Kama tuna viwanda kweli bc sidhani Kama vinazidi 200 ..mbali na hapo ni uzushi tu
Sasa hv kaja na eti anataka Tz itoe msaada kwa nchi za ulaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.
Ndio Kiwanda hiki Mtani?Fyatueni tu Watoror, hakuna kutumia kondom wala uzazi wa mpango....
Karudia tena ule uzushi wake wa Dona Kantre?Sasa hv kaja na eti anataka Tz itoe msaada kwa nchi za ulaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nd miongoni mwa vile 8,000Ndio Kiwanda hiki Mtani?
Ndio Kiwanda hiki Mtani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu alikua akizungumza mpaka mishipa inasimama akitaka Tanzania ya viwanda, huu wimbo siusikii tena, sasa atueleze kama vimeshakamilika na vimeajiri watu kibao, amehamia kwingineko walalahoi tujue.
Hata hivyo vya cherehani na matofari vitakuwa vile vilivyokuwepo kabla yake. Walichofanya itakuwa ni kuviorodhesha tu ..... Hawa jamaa hawajui maana ya viwanda halafu leo wanatudanganya kuwa waitafanya Tanzania kama Ulaya!! Hahahaa ........... Kumbe Ubeberu mzuri!!RUSTEM PASHA,
Yaani toka mwaka 2018 song la Tanzania ya viwanda lilifia hapo, wanasema eti wamejenga viwanda 8000 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Viwanda vyenyewe ni cherehani 4, wafyatuaji wa tofari, walanda mbao. Daaah CCM sijui safar hii watakuja na slogan ipi maana ya viwanda imekufa rasmi.
Pesa zote za viwanda wamezitumia kudhoofisha chadema kuua upinzani warejeshe mfumo wa chama kimojaMheshimiwa Rais,
Kwa sasa sijasikia ukizungumzia Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya viwanda, ambayo itatoa ajira kwa vijana kulingana na wingi wa viwanda hivyo, vijana ambao wako mtaani licha ya kuhitimu fani mbalimbali, sasa nilitaka nifahamu ile Tanzania ya viwanda uliyoinadi 2015 imeshakamilika?
Kama imekamilika unapozunguka katika kampeni waeleze wananchi Tanzania yako ya viwanda uliyoahidi imeshakamilika ili ujizolee kura nyingi, kwa vijana ambao wamepata ajira katika viwanda hivyo ulivyoahidi.
Hatari mkuu.Pesa zote za viwanda wamezitumia kudhoofisha chadema kuua upinzani warejeshe mfumo wa chama kimoja