Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

Kuna mwengine angesema "njoo pm"
 
Ulimwengu ni uwanja wa changamoto na mitihani......pole ndugu yangu kwa mitihani ya dunia......

Pamoja na yote nichukue nafasi hii kuwakumbusha wazee wenzangu kuwa tuishi maisha ya kuwa active na kuuhangaisha mwili kwa maana ya mazoezi......

Mazoezi ni tiba kwenye mwili kabla ya malazi......

Tujitahidi kumaintain uzito wetu usifikie ule wa kuhatarisha maisha yako.......

Tufanye sana kazi za mikono ili kuongeza mzunguko wa damu kwenye miili yetu.......

Mungu amfanyie wepesi mzee wetu na arudi kwenye hali yake ya kawaida.......

Mungu akupe ushupavu na uwezo wa kukabiliana na mtihani huo.....
 
Inshallah
 
Pole najua unayoptia kwakuw nmeshamuuguz mzaz wangu pia

Hatua muhimu ni kuhakikisha BP yake inakuw normala

2:- anzen kumchukua na daw za mitishamba (mafuta ya simba n.k)

3. Phyc Therapy

4.phycal exirce..

5. Hakikisha hakat tamaa (accept hyo ali na awe na hali ya kujipambania),

Krbu inbox for free ushauri na uzoefu
 
Nakuja pm ndugu yangu
 
Msipanic sana kuepusha matumiz ya pesa yasiyo ya sababu , ila hatua hii ya mwanzo n muhimu san kumpambania kwa mazoezi mengi sana , sisi tulikuw tunatumia hadi 50,000/ had 100,000 per day ila ali improve nakuanza kujitegemea kwa 72% he was 72years strong ilipomkuta na akarud kuji mudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…