Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Sanasana na yeye atapandisha sukari apate stroke 😹😹Nitapungukiwa Nini Sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanasana na yeye atapandisha sukari apate stroke 😹😹Nitapungukiwa Nini Sasa?
👍💯👏👏👏👏usitumie mitishamba au dawa za asili
Unamtisha 😹😹Straight to ignore list. Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Basi yaweke mawasiliano ya huyo mtaalam wa stroke hapa hapaPengine kaburini...na sijui kama itawezekana!
Mungu ni Mwema atamponya tu lakini pia mzingatie kumpatia furaha zaidi, kama alikua anapenda mpira hakikisheni mnamsimulia kinachoendelea, msiende na sura za huzuni sana atakata tamaa.Jana tulipata rufaa tukaenda Moja kwa moja muhimbili
Bado mdogo wetu tu! Atapona, fuata ushauri wa daktari
Kuna mwengine angesema "njoo pm"Hii nakupa kutokana na uzoefu mkuu
Mwaka 2019 nilimuuguza mama akiwa na umri karibu na mzee wako ye alikuwa 65 kwa ugonjwa huo huo na Sasa amepona yuko sawa akiwa na 70 yake
Nilimpeleka regency wakampa dawa ya dharula Kisha Dr kisanga anakanipa number ya Dr Njenje yuko hapo muhimbili
Jamaa Wana hospital Yao pale nje ya muhimbili kama unaenda mbele kidogo ratiba zao huwa ni asubuhi na mapema sana
Jamaa akanishauri nikaenda kule kinondoni kwa wachina kufanya scan ikaonesha athari
Nikarejea akaniandika dawa mbili ambazo gharama ilifikia kama 2000000
Nikaenda pale Robby one kariakoo nikawa nazinunua kwa mafungu anameza hadi akawa sawa
Angalizo dogo
Jitahidi utumie private hospital kama hao na wale wachina wa kinondoni ili usikawie sana na mgonjwa asichoke na abadani usitumie mitishamba au dawa za asili zinaweza kufanya tatizo liwe kubwa zaidi
Mwisho naamini mzee atakuwa sawa sana
Awe anapata mda wa kupumzika na sio Kila saa kumuuliza unajisikiaje
InshallahUlimwengu ni uwanja wa changamoto na mitihani......pole ndugu yangu kwa mitihani ya dunia......
Pamoja na yote nichukue nafasi hii kuwakumbusha wazee wenzangu kuwa tuishi maisha ya kuwa active na kuuhangaisha mwili kwa maana ya mazoezi......
Mazoezi ni tiba kwenye mwili kabla ya malazi......
Tujitahidi kumaintain uzito wetu usifikie ule wa kuhatarisha maisha yako.......
Tufanye sana kazi za mikono ili kuongeza mzunguko wa damu kwenye miili yetu.......
Mungu amfanyie wepesi mzee wetu na arudi kwenye hali yake ya kawaida.......
Mungu akupe ushupavu na uwezo wa kukabiliana na mtihani huo.....
Asante sana ndugu yanguPole sana kwako na kwa mzee wetu.
Mwenyezi Mungu akutie nguvu na maarifa katika kuipambania afya ya mzee.
Shukrani sanaStroke not exactly utarudi sawa, ila kuna room yakua vzuri, mfanyishe mazoezi asikate tamaa.
Nakuja pm ndugu yanguPole najua unayoptia kwakuw nmeshamuuguz mzaz wangu pia
Hatua muhimu ni kuhakikisha BP yake inakuw normala
2:- anzen kumchukua na daw za mitishamba (mafuta ya simba n.k)
3. Phyc Therapy
4.phycal exirce..
5. Hakikisha hakat tamaa (accept hyo ali na awe na hali ya kujipambania),
Krbu inbox for free ushauri na uzoefu
Mbwa wwMzee wako ni Yanga?