The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kutoka ofisini kwenda wapi? Mda wa kazi haujulikani?Akinunua na kutoka kazini utafanya nini kuhudumia watakaokuja ofsini kwa suala la usafiri? Utakaowauzia watakuwa wanatumia mafuta yao kwenda kazini? Ukimuagiza hutompa nauli au gharama nzima za usafiri? Boya wewe hujielewi tu. Cha mtu si chako we kalia eti ukaokoa kiasi cha bil.500, sa uza ndo ztazidi hizo bl.500
Naona majizi mnajitahidi kutetea ulaji..Sasa kwa taarifa yenu hizo akili zenu za kipimbi tumeshafikilia kabla yenu..
Package ya salary itahusisha transport allowance na mafuta utapimiwa,kutumwa utatumwa na utaenda..
Eti cha mtu,alinunua baba yako? Na mjiandae kisaikolojia tutanunua magari economy class.Haiwezekani Wajeda wenye salary kubwa wanatumia Nissan ztrail au Toyota hardtop afu mpumbavu mmja anaejiita mkurugenzi anatumia gari ya zaidi ya mil.100..
Yaani TRA au Tanesco wanatumia magari economy harafu takataka nyie wengine mnatumia V8,kwa lipi hasa la maana mnafanya?