Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

Akinunua na kutoka kazini utafanya nini kuhudumia watakaokuja ofsini kwa suala la usafiri? Utakaowauzia watakuwa wanatumia mafuta yao kwenda kazini? Ukimuagiza hutompa nauli au gharama nzima za usafiri? Boya wewe hujielewi tu. Cha mtu si chako we kalia eti ukaokoa kiasi cha bil.500, sa uza ndo ztazidi hizo bl.500
Kutoka ofisini kwenda wapi? Mda wa kazi haujulikani?

Naona majizi mnajitahidi kutetea ulaji..Sasa kwa taarifa yenu hizo akili zenu za kipimbi tumeshafikilia kabla yenu..

Package ya salary itahusisha transport allowance na mafuta utapimiwa,kutumwa utatumwa na utaenda..

Eti cha mtu,alinunua baba yako? Na mjiandae kisaikolojia tutanunua magari economy class.Haiwezekani Wajeda wenye salary kubwa wanatumia Nissan ztrail au Toyota hardtop afu mpumbavu mmja anaejiita mkurugenzi anatumia gari ya zaidi ya mil.100..

Yaani TRA au Tanesco wanatumia magari economy harafu takataka nyie wengine mnatumia V8,kwa lipi hasa la maana mnafanya?
 
Kwanza acha kuwaita watu takataka! Staha ni mhimu sana, v8 alizinunua nani? Si ujinga wenu, unauza gari unampa mtu ya mafuta na ya dereva. Uliangalia wapi wajeda wakawa na salary kubwa kuliko hao takataka? Ni nyadhifa gani unawaita takataka? V8 si mnatumia ninyi makatibu wa ccm. Dogo unaendeshwa na mihemko sana kiasi cha kuwaona wamasai si watu, watumia v8 ni takataka. Ila mtumia mindege kila siku iliyonunuliwa na Magu si takatifu.
 
Alizinunua Mwendazake na wengine,sisi tunabadili sio tuu mafuta kupimiana bali mtatumia gas ..

Huyo Mwendazake wako kwani alikuta Ofisi ya Rais haina ndege? Toa uzwazwa wako ndio maana unaitwa mzoga
 
Alizinunua Mwendazake na wengine,sisi tunabadili sio tuu mafuta kupimiana bali mtatumia gas ..

Huyo Mwendazake wako kwani alikuta Ofisi ya Rais haina ndege? Toa uzwazwa wako ndio maana unaitwa mzoga
Kwamba we ni Wasted Sperms!! 😂😂😂😂😂
 
viongozi wetu wengi wakifa huwa ni aibu sana ukiona kule bush wanakopelekwa kuzikwa!! ukiona ndugu zao walivyochoka utapata simanzi sana!

viongozi wetu wengi walizaliwa bush na ni washamba!

"you can take a villager from a village to town but you can not take the village out of the head of the villager! wangapi wanajua huu msemo? nyoosha kidole!!"

hizo gari wananunua serikali ya bongo ni kwa ajili ya sifa za kijinga tu eti wanateketeza kodi za maskini ili kutambia maskini mitaani na magari makubwa!! Shame on them!! , Europe sijui huwa wanaenda huku wamefumba macho maana hizo gari zao V8 hakuna na nchi zile ni matajiri mara mia ya sisi! Europe ni vigari vidogo tu vya umeme hayo ma V8 hakuna hata moja!!

Amsterdam matajiri wamejaa ila huwezi kuwajua ukipita mitaani unaona raia kibao wanaendesha baiskeli kama vile kuna mashindano ya mbio za baiskeli utaona magari ya kuhesabu!! ukiuliza wenyeji wanakwambia baiskeli inawapa maisha marefu!

ukipita mitaani Paris unaona watu wachache na magari machache sana mitaani ukiuliza wenyeji wanakwambia raia wengi wako chini kwenye treni za umeme (Metro) wanatoka sehemu moja ya mji kwenda ingine chini kwa chini raia wanapenda hiyo njia sababu ni fasta and cheap!

ulaya hakuna ving'ora vya gari za viongozi hata siku moja!!

kweli ushamba ni mzigo!
Wengine pesa huweka nje ya nchi na hupotelea huko wakifa au zinabaki tu.
Huduma zote za maisha yao hadi mazishi hutumia Kodi za masikini.
 
Back
Top Bottom