Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Mama anamipango mzuri. Bora ukusanye Kodi kidogo kidogo kwa watu wengi. Kuliko Kodi kubwa kwa watu wa chache. TRA nina uhakika mapato yalishuka baada ya kupandisha Kodi. Idadi ya magari yaliyokuwa yakiagizwa ilishuka. Sbb watu wengi walishindwa kumudu gharama. Ulichokuwa unakipata zamani unakipoteza.
 
Sio kweli hizi taarifa tulizoletewa naona ni matango pori. Kikokotoo ni kile kile hakijabadilika.
Aiseee ni kweli. Nimeenda kutazama kweli gari nyingi ushuru wa TRA umeshuka..... Nimetazama maana kuna gari ilikuwa ukijumlisha na ushuru inaenda 29 but now ukiplus na ushuru ipo katika 14 milioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]

Hizi IQ za hawa nyumbu ni kiasi gani?

Zipo kwenye negatives labda?
Mkuu hawa watu ni wakuhurumiwa tu!

Ila utaona akili zao zitarudi oktoba 2025 pale watakapo gundua kwamba ccm inaenda kuwagonga kwenye box la kura.
 
Kama unaona nawafokea....utanifanya nini sasa?

I’ll whup your ass like you stole my money, bitch boy.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, dah kudadadeki zako hadi nimepaliwa na soda sababu yako nyau wewe.

Dah jamaa umenijua kunivunja mbavu leo.... Dah.....

Huo msemo lazima nije nimpe konda kwenye daladala siku moja au mtu akinizingua kunichomekea kwenye foleni barabarani.

Eti wup your ass like u stole my money.... Dah nimecheka balaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks
 
Usipende sana kucheka cheka kama banshee aliye kwenye heat...

Dunia ishaharibika hii. Utaja ombwa na visivyoombwa.

Shauri yako.
 
Aiseee ni kweli. Nimeenda kutazama kweli gari nyingi ushuru wa TRA umeshuka..... Nimetazama maana kuna gari ilikuwa ukijumlisha na ushuru inaenda 29 but now ukiplus na ushuru ipo katika 14 milioni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa isije ikawa "system ina matatizo"

Siamini mimi. Leo nalipia ngoja niiagize hii gari
 
Mkuu nimeweka IST mwaka jana kodi ilikuwa 5M na leo nimeweka tena gari kama hiyo hiyo kodi ni 5.1M. Ndio maana nime

Nimeuliza ni kampuni ya FORD tu ndiyo wamefanya mabadiriko, Toyota bado CIF iko pale pale tu.

Ngoja ndugu yetu GeoMex atatuletea mrejesho
 
Usipende sana kucheka cheka kama banshee aliye kwenye heat...

Dunia ishaharibika hii. Utaja ombwa na visivyoombwa.

Shauri yako.
Jamaa umenichekesha sana. Kuna jamaa m'moja wa marekani anaitwa Martin, basi ndio nika imagine amezungumza hayo maneno. Nikacheka balaa.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah... Shenzi sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…