Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Wamepunguza kale ka levy ka mreli uchwara. Ila walipaswa wakaondoe kabisa maana huo mreli hata haueleweki!

Kweli mkuu, wakaondoe.

Kwakweli nimefurahi muno swala la ushuru kushuka, maana lilikaliwa kimya kwa miaka takribani yote, na hakuna aliekua anarizungumuzia.
 

Mkuu asante sana, naomba iwe yakweli ili sisi wenye uwezo wa chini angalau tumiliki kigari.
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Kwa magufuli ilikuwa halali kwa Samia ni harama. Sukuma gang mna matatizo makubwa sana
 
Natafuta vanguard kwenye list ya TRA haipo kulikoni
Mkuu hayo ni magari mawili tofauti unalinganisha. LA Kwanza ni CC chini ya 2500 na la pili ni CC 2500& above ndio maana umeona imepungua.
Rudia tena kupiga hesabu lile la below 2500CC uone Kama imepungua kitu
 
Mbona yule mungu wenu kiongozi wa malaika mlitaka atawale milele!!/
Samia hadi #2045__ utaki hama Nchi
Mimi awe Rais tu hata akiwa mzee kama Queen Elizabeth ni sawa tu. Mpaka tunyooke tumpate Rais mzuri ambaye hatarurudusha tena kwenye Udikteta
 
[emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Mheshimiwa Rais atake asitake tutamuongezea muda.

Hivi yule mzee ni mbunge wa jimbo gani?
Yaani bungeni kuna mtu anaweza ongea kitu ukakasirika ukajikuta umevunja TV yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…