Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

From now, huyu ndio raisi wangu bora kuliko wote waliopita. Ndani ya mwezi mmoja tumeona mabadiliko, Mungu amsimamie kwakweli. Huu mwaka tutaona mengi tusubiri, na Mungu awe pamoja naye
Amina amina
 
Sio kweli hapo bei ya hizo gari ni tofauti (CIF).
Therefore lazima kodi itakuwa tofauti.
Usiangalie jina la gari angalia CIF
 
Kuna watu mnaleta ukabila humu. Sijui kwa nini.
Ila ni ukweli usiopingika Wasukuma ni wengi sana na wenye vinasaba vya usukuma ni wengi na viongozi wengi ni wasukuma na kanda ya ziwa
 

Sure!! Kuna changes, kuna gari kodi imeshuka kwa karibu m5 kabisa. Niliifuatilia nilipoona kodi inazidi mnunuzi nikaacha, leo naona imeshuka
 
Mkuu hebu tuwekee na data za gari ya uchumi wa kati IST
Wamepunguza Tshs. 50,000/= kwenye gharama ya usajili, lakini kodi kwa ujumla bado wamekaza

2005 Toyota iSt

2006 Toyota iSt
 
SGRA inajengwa na wanaoingiza magari alafu wanyonge wanadananywaga eti ni kodi zao, pumba***
 
Hivi kodi Tanzania inapangwa na rais au inapangwa na bunge? Tanzania ni nchi ya ajabu ajabu sana kama inandeshwa kwa matamko, siyo kwa sheria za bunge!
UMEMALIZA MKUU. Yaani kinachoendelea hakina tofauti na kilichotoka, TAMKO tu linabadili jambo la kisheria ambalo lingepaswa kufanywa na bunge la bajeti. Lakini kama TAMKO lina unafuu kwetu wananchi acha tufurahie tu japo nchi haieleweki inaendaje endaje
 

nadhani inategemea magari hayo mawili yalikuwa na hali gani na yalishatembea maili ngapi kwani CIF zake zinatofautiana kwa karibu 100%, moja lina CIF value ya US$26.6k na jininge lina CIF value ya US$13.3k! Kwa hiyo kodi zake bado ni zile zile, yule wa US$26.6k analipa Ths 23.32m na huyu wa US$13.3k! analipa Ths 15.97m ambayo ni ratio ile ile.
 
Sio kweli hapo bei ya hizo gari ni tofauti (CIF).
Therefore lazima kodi itakuwa tofauti.
Usiangalie jina la gari angalia CIF
Kitu ambacho hujui wewe ni kwamba unadhani cif ni bei ya soko, cif unazoziona hapo zimepangwa na tra sio bei halisi ya soko. Sokoni unaweza kupata gari hilo kwa bei ya chini kabisa au bei juu zaidi ya cif waliyopanga tra. Gari hilo hilo utawala wa marehemu dikiteta magufuli cif walipanga dola 26 elf, kaingia maza kaishusha cif hadi dola 13 elf. So endapo utapewa zawadi la hilo gari huko ulaya, ukilifikisha bongo ktk utawala wa dikiteta Kodi wangekukadiria kwa thamani ya cif 26 elf, na ktk utawala wa maza ungekadiriwa kodi kwa thamani ya cif 13 elf, hope utakuwa umeelewa.
 

hamna mabadiliko hapo wewe!!!


CIF cost ndio basis ya Tax

Hivi nini kimewapata?
 

Yaani mleta maada sijui lengo lake

mwache akosee wapige mnada
 
hamna mabadiliko hapo wewe!!!


CIF cost ndio basis ya Tax

Hivi nini kimewapata?
Cif sio bei ya soko ni mabei yaliyopangwa na tra unapaswa kuelewa hilo, gari hilo moja utawala wa marehemu dikiteta magufuli, tra walipanga cif dola 26 elf kaingia maza rais wa wanyonge kashusha hadi cif dola 13 elf.
 
Mkuu nafanya hizi hesabu tangu enzi kikokotoo hakijawekwa mtandaoni.
Hoja yangu ilikuwa kwamba ulikosea kwa kuzifanya gari zenye CC mbili tofauti above 2500 na below 2500 kuwa ni sawa.Hilo pekee ni kosa litakalopelekea miscalculation za ushuru,sasa sijui unachobisha nini
 
Wakuu, kwa hiyo huko bongo cc za gari husika haziathiri chochote kuhusiana na ushuru wa magari?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…