Umeona sasa??? Na mimi ndo nilikua nauliza hili swala kama kuna mtu alishacheki gari Fulani kabla hapo aangalie kama kuna mabadiliko au ni kwamba system ina matatizo. Sijaamini hata mimi aiseeMama SSH nimemkubali sanaa,kuna gari wakati wa JIWE kodi ilikuwa 6m ila sasa nimeona ni 4.5m....#SSH_MIKUMI_TENA_MATHA(MAKE TANZANIA HAPPY AGAIN).
JIWE alikuwa hataki watu wapate raha,alikuwa anataka watu waishi kama mashetani.
Kula mtori nyama ziko chini( Soma maoni ya watu wengine mkuu)Si kweli. Usitumie mfano mmoja tu kutaka kuwapa matumaini watu. Ushuru uko vilevile.
Kadandia treni huyo sidhani kama hata alielewa jinsi calculator inafanya kazi mkuu. Ndomaana hapa tunaelimishana. Na mimi nimeuliza swali kama kuna mtu kaona hayo mabadiliko pia. Sasa naambiwa bangi hahahaaaHoja hapa ni kwamba ushuru wa magari umepungua. Nenda kafanye trials kwenye calculator kama wewe ni mΓ‘gica magari utaona tofauti tu.
Ila kama umedandia treni kwa mbele hutaelewa chochote kwenye hii mada.
Hahahaaa inafurahisha mkuu ila ndo JF kila mtu mjuaji. Sema ndo tunaelimishanaMm nasoma nabaki nacheka tu.
Kuna mtu kabisha hapo kuwa bei za gari ni ndogo ndo maana kodi ni tofauti. Sasa si akaombe zawadi ya gari huko nje asilipe kodi.
Mbona ulikuwa unataka Magufuli alazimishwe atake asitake?π€π€π€Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
KabisaHahahaaa inafurahisha mkuu ila ndo JF kila mtu mjuaji. Sema ndo tunaelimishana
Nisaidie kumuelewesha huyu. 2017 na 2018 ni kodi moja. Labda kama wakitumia bei uliyonunulia kule ya 2018 itakua kubwa kidogo. Ila kama ulipata kwa gharama nafuu unarudi hapo kwenye makadirio yao ambayo inakua sawa tuLabda gape ya tofauti itakayosababisha ulipe dumping fee kubwa. 2017 na 2018 ni same group.
Njia nzuri ya yeye kuelewa ni kufanya kwa vitendo. Aagize gari.Nisaidie kumuelewesha huyu. 2017 na 2018 ni kodi moja. Labda kama wakitumia bei uliyonunulia kule ya 2018 itakua kubwa kidogo. Ila kama ulipata kwa gharama nafuu unarudi hapo kwenye makadirio yao ambayo inakua sawa tu
Sasa unajua CIF wanavyokadiria TRA mkuu? Tuanzie hapo kwanzaSio kweli hapo bei ya hizo gari ni tofauti (CIF).
Therefore lazima kodi itakuwa tofauti.
Usiangalie jina la gari angalia CIF
Niongezee sauti mkuu tafadhali hii haisikiki!Maza Atake asitake lazima aongezewe, akikataa alazimishwe yule. Suluhu mikumi tena.
ππMaza Atake asitake lazima aongezewe, akikataa alazimishwe yule. Suluhu mikumi tena.
Hiyo CIF ni makadirio ya TRA sio bei ya kweli ninayonunulia South Africa. Kwahiyo wamepunguza makadirio yao kwa 100%nadhani inategemea magari hayo mawili yalikuwa na hali gani na yalishatembea maili ngapi kwani CIF zake zinatofautiana kwa karibu 100%, moja lina CIF value ya US$26.6k na jininge lina CIF value ya US$13.3k! Kwa hiyo kodi zake bado ni zile zile, yule wa US$26.6k analipa Ths 23.32m na huyu wa US$13.3k! analipa Ths 15.97m ambayo ni ratio ile ile.