Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?


TRA hawakadirii CIF. TRA wabakadiria kodi kutegemea na CIF value ya invoice. Na CIF values za magari yaliyo kwenye mfumo wa TRA ni provisional, wao watapiga kodi to the highest CIF value possible. Maana yake, kama wao wameweka CIF ni USD 10,000 then wewe ukaja na invoice ya CIF ya USD 12,000 basi kodi itapigwa kwenye 12. Lakini ukija na CIF less than waliyoweka kwenye mfumo wao, say uje na invoice ya USD 8,000 wao wanakupiga kwenye 10 ya mfumo.
 
Nimeweka calcution mpya comment #60 angalia mkuu

Sikukosea kwakua najua kodi zinakadiriwa kwa makundi. Angalia hiyo calculation kwa parameters zile zile tena CIF imeshuka
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Kwanza kuna mtu kaniambia akimaliza hataendelea
 
Umewahi kuagiza hata baiskeli wewe kilaza?

Nenda Chato huko acha kubweka ovyo humu.
Ndugu yangu ni mimi ambaye sijawahi agiza hata baiskeli. Hii gari nilikuwa nataka ninunue Dec 2020. Hebu niambie sasa kodi yake kiasi gani?

 
Kichuguu msome black kid kaelezea tena hapa

hamna mabadiliko hapo wewe!!!


CIF cost ndio basis ya Tax

Hivi nini kimewapata?
Acha ubishi kama huelewi uliza, Msome Black kid hapo kaelezea, na nimeelezea sana humu
Yaani mleta maada sijui lengo lake

mwache akosee wapige mnada
Kama wakishakadiria CIF ndogo manaake kazi ni kwako kutafuta gari kwa bei ndogo chini ya 13,000 utalipa kodi ya 13000 na ukipata gari labda kwa bei ya 15000 utalipa kodi ya 15,000 ila wakati ule walikadiria bei 26,000 kwahiyo hata ungenunua gar kwa 12,000 unalipa kodi ya 26,000
 
Kula mtori nyama ziko chini( Soma maoni ya watu wengine mkuu)

Mimi nimeuliza swali kwa gari niliyokua na kumbukumbu nayo. Na leo naenda kuiagiza kabisa manaake hela ilikuwepo nilikua naongeza ongeza.Ila saivi inatosha na chenji inabaki


Naomba niangalizie hii gari. Kodi hii ilikuwa ya December 2020.
 
Leo ndio mnajua kwamba tupo M60? Nilitegemea kwamba ile slogan yetu ya rais kuongezewa muda itaendelea kumbe mnaakil
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
 
CIF inakadiriwa na TRA ndo shida inapoanzia. Unadhani wafanyabiashara wanapolalamika kodi kubwa hawajui hesabu???

Kodi kubwa kwasababu ya makadirio makubwa/yasiyo na uhalisia. TRA wamepunguza makadirio hayo na hivyo kodi imeshuka
 
Ndio msingi wa hoja hapo nadhani umeanza kuelewa. Sasa hilo kupunguza Provisional kutoka 26,000 mpaka 13,000 ndio wamepunguza kodi kwa kiwango kikubwa. Inamaana wanaopata hii gari kwa 12,000 CIF ya kununua South Africa wana unafuu ila zamani gari ya 12,000 CIF TRA wanakuchaji kwa 26,000 unaona tofauti ndogo hiyo?
 
Mimi nashangaa mbona JF watu wengi wanasema(ga) wana magari😂😂

Halafu hapa hata hawajui jinsi kikokotoo kinavyofanya kazi
Humu mtu anabishia ripoti ya CAG kwa kutumia notes za form four daftari lake la accounting somo alilofundishwa na mwilimu recho.
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Ni Wapumbavu ndio wenye Mawazo hayo eti Aongezewe
 
Umeshinda[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3]
 
Naona walikuwa wanajipangia bei kubwa ila hela hazipelekwi hazina
Watu wametupiga na tukapigika

Kama Boss mpya kaliangalia hili basi litakuwa jambo la muhimu sana
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!

Kwamba jiwe ndio alikuwa anafaa
 
Huu jamani ni utani! yaani hiyo gari imenunuliwa kwa kiasi gani?
 
Ngoja niagize ka motokali kengine, naona ka unafuu hako njomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…