Sasa si ndio tunamtaka..... Mbona kama unatufokea sasa....?!Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Sasa inategemea na bei utakayonunua mwenyewe huko unakoagiza zipo hadi za Rand 230,000( $16,000) mpaka Rand lak 5 ni uchaguzi wako tuHuu jamani ni utani! yaani hiyo gari imenunuliwa kwa kiasi gani?
Mafuta tunapigwa sana. Kama watu hawakushtuka kile kipindi cha corona ambapo mafuta yalikuja kwa bei sawa na bure ila hawa machoko wanaouza mafuta still wakauza kwa bei za kikahaba za juu then sijui watanzania tuna akili gani.....Bado Mafuta haiwezekani mtu ananunua Petrol Rwanda bei Rahisi kuliko Dar
sijawahi kuelewa why waliongeza kodi kwenye hii?Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.
Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March.
View attachment 1752100
Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leoView attachment 1752101View attachment 1752102
Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari
Ni washamba washamba sana!Nyau ww, wasukuma msahau kushika madaraka makubwa ktk nchi hii,, tushapata somo
Mkuu JF watu umuch know mwingi sana. πππMimi nashangaa mbona JF watu wengi wanasema(ga) wana magariππ
Halafu hapa hata hawajui jinsi kikokotoo kinavyofanya kazi
Mbona nimecheki kwenye TRA valuation system naona kodi iko vile vile. Bei ya gari mwaka jana na mwaka huu april gharama ni zile zile hazijapungua.Mama SSH nimemkubali sanaa,kuna gari wakati wa JIWE kodi ilikuwa 6m ila sasa nimeona ni 4.5m....#SSH_MIKUMI_TENA_MATHA(MAKE TANZANIA HAPPY AGAIN).
JIWE alikuwa hataki watu wapate raha,alikuwa anataka watu waishi kama mashetani.
Sio kweli hizi taarifa tulizoletewa naona ni matango pori. Kikokotoo ni kile kile hakijabadilika.Magari yote yameshuka.
Una uhakika mkuu???Sio kweli hizi taarifa tulizoletewa naona ni matango pori. Kikokotoo ni kile kile hakijabadilika.
Ili wafikie malengo labda hata sijui sababu ya msingisijawahi kuelewa why waliongeza kodi kwenye hii?
kulikuwa na haja gani?
Mkuu nimeweka IST mwaka jana kodi ilikuwa 5M na leo nimeweka tena gari kama hiyo hiyo kodi ni 5.1M. Ndio maana nimeUna uhakika mkuu???
Mimi nimeweka gari moja hapo niliyokua na taarifa zake
Kuna mtu kaweka ya IST hapo imepungua elfu 50
Na kuna mtu kaweka ya Range Rover December mwaka jana mil 66 nimemuangalizia ya leo ni mil64 imepungua mil 2
Tuwekee yakwako ya mwaka jana tuangalie sasa hivi
kwani wakati mnalipigia jiwe debe ya "aongezewe muda" hamkulijua hilo?.Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Muongo wewe. Mzushi wewe!mbona mwenda zake mlikua mnamlazimisha atawale milele? wacha na sisi raisi wetu mama tumwongezee muda
ππππkwani wakati mnalipigia jiwe debe ya "aongezewe muda" hamkulijua hilo?.
Nataka nini?Mkuu na wewe unataka? wewe kabisa? au unafanya udalali?
[emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]