Shaka ni habari nyingine kwa sasa,Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
View attachment 2327961View attachment 2327963View attachment 2327965View attachment 2327986
Fanya kazi acha maneno maneno
Jembe sana huyu kijanaHuyu jamaa ni MTU safi sana sio kama wale wazee Wa V8 daaah
Ni sawa, ila matumizi ya akili bila busara ni ukichaa fulani hivi.Kiukweli ukimlinganisha Shaka na wwatangulizi wake akina Nape na Polepole, huyu jamaa amejaa busara.
Lakini kwa akili Polepole anawazidi Nape na Shaka kwa mbali sana
Shaka deserves betterView attachment 2327949
Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
View attachment 2327951
Pambaneni acheni kelele,serikali haichukuliwi kizembe zembe hivyoChama cha vyombo vya dola bana. Kenya ndio kuna siasa, hapa ni ukhanithi mtupu. Bila machafuko huu upuuzi wa kutawaliwa kwa shuruti na ccm utaendelea kushika kasi.
Ni dhahiri kuwa vijana wa sasa wapo smart sana na siasa na wapo tayari kulitumikia taifa hofu yangu ni mikoba tyuu wanayo rithishwa kuibeba wanatakiwa kuibadilishaaaTazama CCM ilivyo na mvuto kwa kijana,
View attachment 2327961View attachment 2327963View attachment 2327965View attachment 2327986
Upo sahihi lakini nafasi aliyopo shaka wapo ambao walipita na hawakufanya anayo yafanya hiyo inadhihirisha uwezo wake lakini ukisikiliza hotuba zake jamaa anajua kujenga hoja sio kusifia tyuu maboss wakeNo dis-respect to shaka but leo hii mimi unipatie V8 (na mafuta full tank Bure), unipatie platform,nikienda mikoani na wilayani viongozi wote wanaacha shughuli zao wanakuja kunisikiliza mie,ikulu naingia Bila appointment,ziara za RAIS nachagua ipi niende, nikienda mikoani naandaliwa makazi na chakula Bure, alafu uone jinsi nitakavyofanya siasa na Kazi kama punda...hii nchi mtaniomba nichukue fomu nigombee urais ili niwaongoze Bila kikomo...kila mmoja wetu hapa (chawa na wapambe aside) achukue dakika chache afikirie jinsi anavyopambana kimaisha kwa mbinu zake mwenyewe, alafu afikirie scenario ya kupewa nyenzo na facilities kama anazopewa Shaka, jipime na utuambie who is the best kati yako na Shaka.
Ishu ni investment vyama vya upinzani investment ndogo sanaMbona mnafanya mikutano wenyewe! Ruhusuni na sisi tufanye mikutano Ili muweze kufanya Fair comparison! Mnavunja sheria Kisha mnajisifia ujinga?
Kwa pole pole tatizo lilikua dogo tyuu kulewa mamlakaPole pole pamoja na ujinga wake mwingi alikuwa na ushawishi, umaarufu na mjenzi mzuri wa hoja kuliko huyu.
Pambaneni acheni kelele,serikali haichukuliwi kizembe zembe hivyo
Nani akupe nchi ata ofisi tu huna?Ndio tunasema machafuko pekee ndio yatasaidia kutokuchukua nchi kizembezembe hivyo.
Shaka anaushawishi GANI,? Kama vipi nipe Jimbo naye tena huko Zanzibar nikitokea TANGANYIKA , saa nne asubuhi nimemaliza KAZIView attachment 2327949
Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
View attachment 2327951
Nani akupe nchi ata ofisi tu huna?
Acha ajenge chama kwanza..View attachment 2327949