Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

Chama cha vyombo vya dola bana. Kenya ndio kuna siasa, hapa ni ukhanithi mtupu. Bila machafuko huu upuuzi wa kutawaliwa kwa shuruti na ccm utaendelea kushika kasi.
Fanya kazi acha maneno maneno
 
Shaka ni 'mreemboo' ningekuwa na dada ningempa ili tupate wajomba weupee 😎😎😎
 
Kiukweli ukimlinganisha Shaka na wwatangulizi wake akina Nape na Polepole, huyu jamaa amejaa busara.

Lakini kwa akili Polepole anawazidi Nape na Shaka kwa mbali sana
Ni sawa, ila matumizi ya akili bila busara ni ukichaa fulani hivi.
 
Chama cha vyombo vya dola bana. Kenya ndio kuna siasa, hapa ni ukhanithi mtupu. Bila machafuko huu upuuzi wa kutawaliwa kwa shuruti na ccm utaendelea kushika kasi.
Pambaneni acheni kelele,serikali haichukuliwi kizembe zembe hivyo
 
No dis-respect to shaka but leo hii mimi unipatie V8 (na mafuta full tank Bure), unipatie platform,nikienda mikoani na wilayani viongozi wote wanaacha shughuli zao wanakuja kunisikiliza mie,ikulu naingia Bila appointment,ziara za RAIS nachagua ipi niende, nikienda mikoani naandaliwa makazi na chakula Bure, alafu uone jinsi nitakavyofanya siasa na Kazi kama punda...hii nchi mtaniomba nichukue fomu nigombee urais ili niwaongoze Bila kikomo...kila mmoja wetu hapa (chawa na wapambe aside) achukue dakika chache afikirie jinsi anavyopambana kimaisha kwa mbinu zake mwenyewe, alafu afikirie scenario ya kupewa nyenzo na facilities kama anazopewa Shaka, jipime na utuambie who is the best kati yako na Shaka.
Upo sahihi lakini nafasi aliyopo shaka wapo ambao walipita na hawakufanya anayo yafanya hiyo inadhihirisha uwezo wake lakini ukisikiliza hotuba zake jamaa anajua kujenga hoja sio kusifia tyuu maboss wake
 
Mbona mnafanya mikutano wenyewe! Ruhusuni na sisi tufanye mikutano Ili muweze kufanya Fair comparison! Mnavunja sheria Kisha mnajisifia ujinga?
Ishu ni investment vyama vya upinzani investment ndogo sana
 
View attachment 2327949

Wasalaam,

Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?

===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke

View attachment 2327951
Shaka anaushawishi GANI,? Kama vipi nipe Jimbo naye tena huko Zanzibar nikitokea TANGANYIKA , saa nne asubuhi nimemaliza KAZI
Ccm watu wenye ushawishi mpaka mda huu simuoni,KWa mbali Bashe, wengine tupakule
 
Back
Top Bottom