SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sukuma Gang mumekuwa muflisi wa siasa kweli kweli. Aibu yenu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kudanganya watu shezi, unajua denda au unalisikia. Unachokiona hapo ni denda au busu?Tundu Lissu akiwa uwanja wa ndege huko Ulaya akijiandaa kurudi nchini Tanzania, alionekana akiagana na mwanamke mzungu kwa kukumbatiana na kulana denda hadharani bila hofu, kitendo ambacho kimezua sintofahamu kubwa sana kwa Watanzania.
Wengi wameenda mbali na kuhoji kama ameachana na mkewe ambaye wamezaa watoto wawili mapacha, na ambaye alisimama naye bega kwa bega tangu aliposhambuliwa kwa risasi nchini Tanzania.
Una maoni gani kuhusu picha hii ya Lissu na Mwanamke wa Kizungu?
View attachment 2495023View attachment 2495024
Mrs LissuKwani mke wa Lissu yupo wapi?
Usipelekwe na upepo jombaaa,hiyo picha ya kutengeneza,Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.
Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?
Nini kinaendelea hapa?
View attachment 2495022
Picha: Tundu Lissu akiagana na Mwanamke Mzungu Ubelgiji
View attachment 2495026
Picha: Tundu Lissu baada ya kuaga akiwa na mizigo yake ya safari
Hapa sasa umesema jambo la maana. Sio picha ya kweli.Usip
Usipelekwe na upepo jombaaa,hiyo picha ya kutengeneza,
Photo shop,tatizo aliyeitengeneza alisahau kubadilisha na mikono ya mzungu iwe rangi nyeusi.
Angalia mkono wa "lisu"Lisu ni mtu mweusi,sasa kwanini mkono wake wa kulia uwe mweupe kama wa mzungu
Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.
Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?
Nini kinaendelea hapa?
View attachment 2495022
Picha: Tundu Lissu akiagana na Mwanamke Mzungu Ubelgiji
View attachment 2495026
Picha: Tundu Lissu baada ya kuaga akiwa na mizigo yake ya safari
Umbea waachie wanawake wewe. Hiyo ni issue binafsi, inakuhusuje wewe? Mmeshaambiwa na viongozi wenu muache siasa za majitaka, bado hamjielewi tu!!!Tundu Lissu akiwa uwanja wa ndege huko Ulaya akijiandaa kurudi nchini Tanzania, alionekana akiagana na mwanamke mzungu kwa kukumbatiana na kulana denda hadharani bila hofu, kitendo ambacho kimezua sintofahamu kubwa sana kwa Watanzania.
Wengi wameenda mbali na kuhoji kama ameachana na mkewe ambaye wamezaa watoto wawili mapacha, na ambaye alisimama naye bega kwa bega tangu aliposhambuliwa kwa risasi nchini Tanzania.
Una maoni gani kuhusu picha hii ya Lissu na Mwanamke wa Kizungu?
View attachment 2495023View attachment 2495024
ushamba unamsumbua yaani mtu kumkiss mwanamke lazim awe mkeweUmbeya unakusumbua
Ha ha ha[emoji23]Bongo shida sana, hawahawa wakiongozwa na musiba si walisema jogoo wa jamaa hawiki baada ya kuchezea shaba, sasahv wanapiga kelele kuona anakula denda
Mkuu so jamaa anamke wa ulaya na wa bongo yaan kama namba za simu ya nje na ya ndani vile pia kiukweli kama ndo vile nampongeza ata amerudi me nisingerud kabisa na ningeshukuru kupigwa risasi nikale vyangu huko mbele...sio kwa ubaya jaman msiniueUlaya ni kosa kubwa sana
Pia yeye ana dini isiyoruhusu wake 2 au kabadili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu so jamaa anamke wa ulaya na wa bongo yaan kama namba za simu ya nje na ya ndani vile pia kiukweli kama ndo vile nampongeza ata amerudi me nisingerud kabisa na ningeshukuru kupigwa risasi nikale vyangu huko mbele...sio kwa ubaya jaman msiniue