Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

Hii ingefichwa. Wanawe wasione.

Duh!

Tunapoteza wapi miiko!
 
Sijui wabongo nn mnataka ,mlidai ameolewa ,Sasa kawaonyesha alioa m-beberu mnalalamika Tena (alikabidhiwa mtu wa kumpikia
 
MACHADEMA ni mazinzi na majizi hasa. Yaani kuanzia Gaidi kule juu hadi kina Pumbalu. Chiba ameonyesha ujinga Sana. Yule mke wake ameteseka Sana yaani ndio shukrani hiyo kuokota kahaba wa ulaya na kufanya ushoga. Kwanza Chiba Lissu alitakiwa apimwe vizuri kama na marinda yapo. MaCHADEMA yanaongoza kudhulumu wakina mama. Yees.
 
Umbea waachie wanawake wewe. Hiyo ni issue binafsi, inakuhusuje wewe? Mmeshaambiwa na viongozi wenu muache siasa za majitaka, bado hamjielewi tu!!!

Unaona mnavyodharau wanawake nyie kuku nyumbuu. Chiba kaokota kahaba hukoo kamtelekeza mama wa watu mke halali. Kina Mdee wanawagaragaza mahakamani. MaCHADEMA hovyo tu kama sukuma gang wa Gambosh
 
Macho yangu au picha imeeditiwa huo mkono wa lisu mbona mweupe sana haha
 
Unaona mnavyodharau wanawake nyie kuku nyumbuu. Chiba kaokota kahaba hukoo kamtelekeza mama wa watu mke halali. Kina Mdee wanawagaragaza mahakamani. MaCHADEMA hovyo tu kama sukuma gang wa Gambosh
Sio kwa povu hili team chatle.
 
Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.

Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?

Nini kinaendelea hapa?

View attachment 2495022
Picha: Tundu Lissu akiagana na Mwanamke Mzungu Ubelgiji

View attachment 2495026
Picha: Tundu Lissu baada ya kuaga akiwa na mizigo yake ya safari
Umeuona mkono wa huyo mnayemuita kuwa ni Tundu Lissu?
Lissu siku hizi amekua na mikono ya kizungu?
Umeona kilipo kiwiliwili cha huyo mwanamke wa kizungu kilipo na miguu yake ilipo? Au kwenu hivyo siyo issue kubwa? Kwenu ni ili mradi mmefanya editing na kuja ku post JF?
 
Ulumeuona mkono wa huyo mnayemuita kuwa ni Tundu Lissu?
Lissu siku hizi amekua na mikono ya kizungu?
Umeo kilipo kiwiliwili cha huyo mwanamke wa kizungu kilipo na miguu yake ilipo? Au kwenu hivyo siyo issue kubwa? Kwwnu ni ili mradi mmefanya editing na kuja ku post JF?
Kama walimwibia paspot wanashindwaje kutengeneza
 
Unapoteza muda kutaka kujua vitu vya kipuuzi
 
Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.

Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?

Nini kinaendelea hapa?

View attachment 2495022
Picha: Tundu Lissu akiagana na Mwanamke Mzungu Ubelgiji

View attachment 2495026
Picha: Tundu Lissu baada ya kuaga akiwa na mizigo yake ya safari
Historia yake lissu sio mtu mwenye maadili mema kwenye mahusiano.
Mtu mwenye msingi mkali wa ubinafsi na mlafi ni rahisi kuisaliti ndoa yake wakati wowote.
Na huyo anayedhaniwa mwanamke anaweza kua mwanaume au transgender. Lissu ni muungaji mkono wa vitendo na harakati za LGBTQ
 
Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.

Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?

Nini kinaendelea hapa?

View attachment 2495022
Picha: Tundu Lissu akiagana na Mwanamke Mzungu Ubelgiji

View attachment 2495026
Picha: Tundu Lissu baada ya kuaga akiwa na mizigo yake ya safari
Kweli jamii forum imetetereka !! Hii mwanaume rijali unaweza kuanzisha "Uzi" kama huu!!!
 
Back
Top Bottom